Miezi 6 tu,pesa za ubunge zilivyomuharibu mbunge huyu kijana na kuwa kero jimboni kwake

Avar yako + idadi ya post yako = fitina, mimi naona kama umeanza vibaya vile mkuu wewe unaonaje !!!!!!!!!!!!
 
wakiristo kutoka bara wamengiza tabia mbaya huko

Assumptions kama hizi ni hatari sana kuziendekeza hasa katika karne hii na nchi hii isiyotawaliwa kwa imani za kidini. Angalia sana kwa umakini suala hili vinginevyo..........!
 
Duh Ulevi nooma ,funda moja tu la mwisho ndo lililomtoa nishai.ZNZ walevi wengi zaidi hata ya bara ila wanajificha wakati wakupiga kilaji.Wanafiki wakubwa
 
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.

Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.
mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini.
maadili ya mwanzo yametoweka kabisa

Ni mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia

Yaelekea umejiunga JF ili uposti hiyo habari tu....kweli tuna safari ndefu! Mligombea wote nini?
 
Back
Top Bottom