Kwa zaidi ya miaka 48 (1967 -2015) tangu uhuru wake Tanzania imekuwa na maisha yasiyoeleweka kiuchumi pamoja na kuwa na vitu vingi na maliasili nyingi ambazo zingeweza kuipaisha nchi hii kiuchumi mara moja, na sasa ingekuwa miongoni mwa nchi chache zilizofanikiwa sana kiuchumi. Tanzania...
Sabuni ya jamaa inayotengenezwa nchini Kenya imekuwa ikifanya vizuri sana kwenye soko hapa Tanzania kwa miaka mingi sasa, kiasi ambacho imezifunika sabuni nyingi sana za kufulia hapa nchini.
Swali langu ambalo nataka kuwauliza wadau, je, ni kweli watanzania wameshindwa kabisa kuanzisha viwanda...
Pharmacy ni course nzuri lakini tatizo ni upungufu wa viwanda vya kutengeneza dawa, wengi huishia kugawa dawa hospitalini...Doctor of Medicine status kubwa lakini maisha yao wengi huwa ya kawaida tu kutokana na muda mwingi kubanwa na kazi..
watoto wadogo hawabatizwi, soma biblia yote mwanzo mwisho utaona!!!!! unafikiri Mariam alikua mjinga asimbatize Yesu akiwa mtoto???
hii sio biblia mkuu....Jibu swali moja tu direct....unafikiri kwa nini Yesu alibatizwa akiwa mtu mzima?
mambo mengine sina uhakika nayo, lakini hilo la wamama kulala chini na kulala wawili wawili si la kweli hata kidogo...umeongeza chumvi...wodi hiyo tunaifahamu vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.