Recent content by cbebe

  1. cbebe

    Mawasiliano haya!!

  2. cbebe

    Tabia za watanzania ndio zinafanya wayaone maisha magumu

    Inawezekana anawasema wanaume wengine yeye hana hiyo tabia
  3. cbebe

    Mke wa mtu ni sumu

    Na pale Airtel ya morocco wamama walioolewa wanatiwa hovyoo wengine wanazungukana, wengine wana viserengeti nje ya jengo
  4. cbebe

    Diamond atoa msaada wa mamilioni kwa aliyetobolewa macho na scorpion

    Unakosea ukisema hivyo, huo ndio uwezo wake. Menzetu ushatoa ngapi?
  5. cbebe

    Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

    Pia wana kaugonjwa hao kunguni, sijui wanaitwa kwa kiinglish,soma ukipata muda
  6. cbebe

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Mpaka unatetemeka umeshakuwa mtumwa wa pombe. Ni dalili mbaya ( alcoholik[emoji481]) fanya mazoezi na tafuta kitu mbadala unaposikia hamu ya pombe. Jiepushae kukaa na group la wanywaji, kuwa busy kidogo. Pendelea kunywa vitu vitamu.
  7. cbebe

    Kwanini akina Dada wengi huwachukia Wake za Makaka zao?

    Sisemei kwangu, nasemea mtaa wa pili. mimi nampenda wifi yangu mpaka naumwa.
  8. cbebe

    Wakati gani panapendeza kufanya mapenzi?

    Kama tupo wote wkend mie napendelea asubuhi,
  9. cbebe

    Kwanini akina Dada wengi huwachukia Wake za Makaka zao?

    Kikubwa ni wivu. Ila saa nyingine mke wa kaka anakuwa na matatizo
  10. cbebe

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Sababu 2 nakubalana nazo, kufunguka na dawa. Katika mahusiano yangu. Wote walikuwa hivi
  11. cbebe

    Wanaume wa mkoa jamani ni wachafu, 'mfyuuu'

    Wasisemwe wa mikoani tuu hata Dar. Ila hata wanawake wananuka vikwapa kama kitunguu swaum. Deo za bei rahisi zipo kibaao. Tena roll on ya dove ni nzuri sana na ni rahisi. Unapishana na mwaume Dar jua kali kavaa tai na jacket, smart, vuta pumzi duuu. Hata wadada. Hii hali ipo kotekote. Kwingine...
  12. cbebe

    Natafuta rafiki wa kawaida

    Huwa wananoga wa mtandaoni, maana kila kitu cha uongo[emoji23]
  13. cbebe

    Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

    Ujanani.. tee age Nilishampenda mtu nilikuwa napenda kumuangalia tu, akiingiza neno nakimbia. Na wenye macho mazuri walikuwa wananimaliza sana
  14. cbebe

    Mzazi mwenzangu ananitukana sana

    Nashauri kuliko kutoa pesa peleka chakula na awe anapikiwa mtoto tu. Chakula kikiish lwake.
Back
Top Bottom