Mzee hakusafiri mkamsema leo kasafiri mnamsema tena ziara hazina tija nchi maskini.. nchi tajiri ingenunua hayo mahindi tani 700000?
China has become a super power after investing to poor people who are the one with needs not demand
Zimbabwe has international barriers and restriction .. JPM...
Aisee wanawake walokole ni wazuri sana maana wengi walisha fanya dhambi sana ndio mana wakaokoka .. wanaanza maisha upya..
yaani wakitulia na msela wanatulia haswa maana wamesha pitia mapigo yote..
ttz la walokole wengi ni wachakavu huwezi kuta ngoma mbichi lazima kilometa ziwe zimesoma mzee
Bado hajafnikiwa kabisa kwa sasa kwamaana yy anasema trh 26 ndio kazi.. sa hii anashawishi na watu wakijitokeza barabarani ndio tutasema kafanikiwa... watu wasipo andamana basi takua kafeli.. ila kwa sasa bado ni bilabila.. hata kwa sasa hawezzi wekwa hatiani maana tarehe bado
Pole binti.. ushakua chama la wana
Sikuizi tabia za wanaume zimebadilika sana kati ya hao saba lazima kuna kichaa mmoja alichimba CHOO..
Hawezekani wote hao wale wali maharagwe... lazima kuna mtu alikula nyama hapo ..
Tulia dada ujizalie katoto thn uanze tafuta child support . Hapo ndio...
Ebu tafuta sababu kwanini mzee mengi aliachana na mkewe mercy akaenda oa klyn, ya wachaga yalimfika akawahi mapema
Ndoa inaunganisha familia mbili na huleta faraja kwamba wazazi wanataka kuona matunda ya mtoto wao hapo badae na sio kilio hapo badae..
Kwa sasa utamia lakini badae utakua kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.