Inawezekana lengo lao ilikua sio kuuwa ila ikatoka jamaa kafaa, nadhan itakua fundisho kwa vibaka wengine kwan sasa wamegundua kuwa wanafunz nao wamechoshwa na vitendo vyao
Polis nao sasa wanajisahau, wanashindwa kugundua kuwa siku zilizobakia kwa CCM kuwa madarakani zinhesabika; kama bdo wanazipenda ajira zao wabadilike na waache kupelekwapelekwa.
Adam mchuomv, millard ayo, dj fetty, wasiwasi mwabulambo, f ram kibond, musa husen huwa nao wanajitahd jpo kuwa mara nying wapo kwenye vipind vya redio ila wanafanya mtu huchoki kusikilza taarifa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.