Recent content by Catarina anna

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mizigo ya Taasisi na Kampuni zikiwemo Dangote, Azam na Muhimbili kupigwa mnada isipolipiwa ushuru

    Kampuni ya Saruji ya Dangote ni miongoni mwa kampuni kadhaa zilizopewa siku 30 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kulipia ushuru wa forodha mizigo yao kabla mizigo hiyo haijapigwa mnada. Agizo hilo lilitolewa na TRA kupitia tangazo lililotoka Septemba 9,2019 katika Gazeti la Daily News ambalo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya watumishi wa Umma walioteuliwa kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa-2019

    Kwa mujibu wa Kifungu 201A cha Sheria za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya), Sura 287 na Kifungu cha 87A cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Sura 288 zikisomwa pamoja na Kanuni ya 3 na 6(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sita kortini kwa kusafirisha bangi kilo 197.49

    Dar es salaam. Wafanyabiashara watano na dereva mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Tanzania wakikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji wa bangi. Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo leo Alhamis Septemba 4, 2019 na kusomewa shtaka hilo na wakili wa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yapata tuzo ya Uhamasishaji wa Uhuru wa Maoni/Taarifa nchini kutoka UTPC

    Hongereni JF inaleta hamasa na kutia nguvu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Jiko la mkaa lasababisha watoto wawili kukosa hewa na kufariki

    Watoto wawili wa familia moja wakazi wa msamala mkoani ruvuma wamefariki dunia kwa kukosa hewa kutokana na jiko la mkaa lililowashwa katika chumba cha flemu ya duka walimokuwemo huku mama yao aitwaye BEATRICE MPAGIKE akilazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa ruvuma. Kamanda wa polisi wa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Conte aagizwa kuunda serikali mpya Italia

    Rais wa Italia Sergio Mattarella amempa Waziri Mkuu Giuseppe Conte agizo la kuunda serikali mpya Alhamisi, kufuatia mpango wa kuepusha uchaguzi wa mapema. Uamuzi huo umetolewa na Mattarella baada ya vyama viwili vya kisiasa nchini Italia, kile Nyota Tano na cha Democratic, kukubaliana kuunda...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wasambaza taarifa za uongo kuhusu madhara ya dawa kushughulikiwa

    Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania ipo mbioni kuanza kuwachukulia hatua wanaosambaza katika mitandao ya kijamii taarifa za uongo kuhusu madhara anayoweza kuyapata mtu iwapo atatumia aina fulani ya dawa. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 29, 2019 na naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Pwani yakamata magunia tisa ya Bangi

    JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia dereva Francis Deogratias (30) mkazi wa Mwananyamala Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha bhangi magunia tisa kila moja likiwa na uzito wa kilo 50. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Kibaha kamanda wa polisi mkoani humo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yafuta mradi wa kufua umeme wa maji

    Uganda imeachana na mradi wa kujenga bwawa la kufua umeme katika maporomoko ya maji ya Marchison. Mradi huo ulikuwa ukikosolewa sana na walinzi wa mazingira na wadau kadhaa wa sekta ya utalii. Serikali ya Uganda inaashiria mradi huo wa umeme wenye uwezo wa kutoa megawatt 360 "ungechafua...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani

    Picha ya mbegu za Lozi(Mlozi)
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani

    Ni mmea jaamii ya njugu kwa kizungu unaitwa Almond
  12. C

    JamiiForums Tanzania Atiwa Mbaroni Kwa Kosa la Kumbaka Mtoto wa Miaka Mitatu

    JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia Dismas Silyvester (35) kwa kosa la kumbaka mtoto mdogo mwenye miaka mitatu, huko Mlandizi A ,kata ya Mlandizi ,Kibaha . Aidha Mariam Shomari (25) mkazi wa Msongola ,Mlandizi Kibaha ameibiwa mtoto wake mchanga wa miezi mitatu katika mazingira ya...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man loses wife to pastor who presided over his wedding

    Mfanyabiashara kutoka Kaunti ya Kiambu amelalamikia kitendo cha Mchungaji kumchukua Mke wake aliyezaa naye Watoto watano Aidha, bwana John Kanyua ameeleza kuwa mpaka sasa haamini imekuwaje Mchungaji aliyewafungisha ndoa amgeuke na kumharibia ndoa yake Anasema kuwa yawezakana alipigwa upofu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani

    Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako kisha scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi wa jani la chai. Baada ya hapo fanya toning na maji vuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao na weak kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kasoro penye...
Back
Top Bottom