Recent content by cataliya

  1. cataliya

    Dunia hii sio ya wanyonge

    Unyenyekevu sio unyonge!
  2. cataliya

    Vijana mnaojenga bajeti mnaimudu?

    Naomba majibu hapa boss
  3. cataliya

    Vijana mnaojenga bajeti mnaimudu?

    Mie nahitaji mbao za milango pamoja na frem zake! Aina ipi ya mbao nzuri?
  4. cataliya

    Watanzania waliosoma Havard

    Mdogo wake na baadhi ya marafiki zake..
  5. cataliya

    Watanzania waliosoma Havard

    Ndio. Kafariki California. Mchango unahitajika kumrudisha nyumbani kwa ajili ya mazishi.
  6. cataliya

    Watanzania waliosoma Havard

    Amefariki mwaka huu June 9, una taarifa?
  7. cataliya

    Hirizi ni mzigo mzito sana

    TITO 3 : 9 Lakini maswali ya upuzi ujiepushe nayo, na nasaba, na magomvi, na mashindano ya sheria. Kwa kuwa hayana faida, tena hayana maana.
  8. cataliya

    Watanzania mnaopenda kuja Norway kutafuta maisha chukua ushauri huu, kazi nyingi ni za bandarini

    Sikutegemea kama akili yako ingewaza hivi na exposure yote hiyoooooo. Kuna groceries fresh nyingi snaa hutumwa na ndege kuja huko Scandinavian countries kila uchwao...... panua akili na mawazo yako ufike mbaliiii.
  9. cataliya

    Hirizi ni mzigo mzito sana

    Huwezi na kamwe huwezi. Uhai wangu umefichwa pamoja na Kristo manaa nilikufa na kufufuka pamoja naye.
  10. cataliya

    Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

    Bwana Yesu alitumia mpaka udongo kuponya mwenye kipofu. Unasoma Biblia ipi?
  11. cataliya

    Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

    Soma nyaraka za Paulo. Aliagiza matumizi ya mafuta katika kupooza wagonjwa. Plz soma Biblia. Elisha alimuagiza naamani kujiosha yordani ukoma utamtoka. Yote haya yapo katika biblia!
Back
Top Bottom