Recent content by Casuist

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

    Mkuu ngaiwoye, nilishawahi kukaa kwenye shauri la ardhi, lilianza kama masihara lakini ilikula miaka 6.. nilijipambania mwaka wa kwanza nikaona muda unapotea kwenda kushinda kwenye cordor za mabaraza.. nikaweka wakili miaka mitano, ni hela inatembea.. Ngoma nilienda kushindia mahakama kuu na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania KERO Nini kinaendelea kati ya NHIF na hospital ya tiba healthcare -Upanga? Inadaiwa huduma kwa wenye kadi za NHIF zimeachwa kutolewa ghafla

    La Aga Khan nawaunga mkono NHIF, watatukaushia mfuko.. NHIF wanahitaji kuimarisha mifumo yao kupunguza ubadhirifu badala kuzuia hospitali..
  3. C

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

    Na mnalipia taka!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Huu mpango bado unaendelea? Na huko walipoanza walilipaje mkuu!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

    Bora tuendelee kuwepo watu wanufaike;);)
  6. C

    JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

    Naona Serikali imejaribu kukifufua kwa miaka zaidi ya 10 bila mafanikio..
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Kuna zile sanduku za maoni zipo mahospitalini zimejaa vumbi na hazina dalili ya kufunguliwa kwenye baadhi ya zahanati. Kwa ujumla angefata mifumo ya serikalini hilo jambo lisingeleta impact ya uwajibikaji kama njia aliyotumia..
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Hadi unakuwa CEO wenyewe bado watakuwa wanadai:D
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Hivi Kipunguni ni upanuzi wa Airport au wanajenga mahoteli?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Chain ya sukari imebeba watu wengi ikiwemo wasio na makosa. Bashe hawezi kuharibu maisha yao kisa Serikali kushindwa kutimiza wajibu wao wa kudhibiti bei. Anajigamba kabisa mwaka mmoja mashamba yote yatakufa, hamna mtu hapo..
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

    Love is beautiful tatizo havina muda mrefu..
  12. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Nape ana kauli chafu kama vile mtu mwenye uhakika wa kesho yake haitakaa ibadilike milele
  13. C

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Zamani Barabara hiyo ilikuwa na lami kutokea barabara ya Pugu road Banana mpaka Kitunda, baada ya kuharibika sana na kutengeneza mashimo makubwa waliamua kuikwangua sehemu kubwa lakini zipo sehemu chache bado zina lami..
  14. C

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Hapo unapopaona zamani kulikuwa na lami..
Back
Top Bottom