wilaya yaitilima simiyu yafukuza walimu wote washule za sekondari
hivi wilayaya itilima iko nchi gani? Bara gani ? Duniani ua afisa elimu wake sekondarianajua hii ni karne ya ngapi?
rafiki yanguanayefundisha huko kwa takribani miaka 7 tangu wilaya hiyo haijatengwa na wilaya yabariadi...
Hata kwa ujanja gani Chama Cha Mapenzi (CCM) kiko mwisho, but remember CHEGUVERA'S worbs " revolution is not a ripe apple which one day falls down WE MUST FORCE IT TO FALL DOWN"
Mwenge wa UHURU hukimbizwa kila mwaka nchi nzima ukiwa na kauli mbiu mbalimbali, katika mbio hizo mwenge huzindua majengo mbalimbali ya umma kama vile Ofisi, Zahanati na Shule ambapo zaidi ya 95% ya majengo hayo yanakuwa yamejengwa chini ya kiwango. Utasikia ndugu mgeni rasmi ofisi hii...
Tatizo si ukerewe tu,njoo huku Kagera halafu uende kwa watani zangu Chigoma unaweza kulia, mipaka ya chi yatu iko wazi 24hrs kwa majambazi kutoka nje ya nchi, wahamiaji haramu Amiri jeshi mkuu a.k.a baba rizi pamoja na Gen.Mwamunyangi wako HONEYMOON. Mipaka ulinzi wake afadhali 100% enzi za...
CHADEMA inaaamini katika demokrasia na kuwa mtu yeyote anaweza jambo, Ndoto ya CCM ilikuwa viongozi wa CDM waendelee kuongoza tu wasiwe washauri, Zito hagombei ubunge,atakuwa mshauri wa CDM na anawaachia watu wengine waongoze tatizo liko wapi, M nchemba amezoea yale ya chama chake mbunge...
Mwenge waUHURU hukimbizwa kila mwaka nchi nzima ukiwana kauli mbiu mbalimbali, katika mbio hizo mwenge huzindua majengo mbalimbaliya umma kama vile Ofisi, Zahanati na Shule ambapo zaidi ya 95% ya majengo hayo yanakuwa yamejengwa chini ya kiwango.Utasikia ndugu mgeni rasmi ofisi hii imegharimu...
Aibu gani CCM eti mmeazimisha miaka 36 ya kuzaliwa Chama Cha Majambazi (CCM),juzi miji yetu ya Geita.Shinyanga na Kahama maroli yalileta watu kuwatoa vijijini eti sherehe hizo zionekane kuwa na watu wengi maajabu wote walikuwa VIKONGWE TU na eti walipewa fedha na wabunge wao
hivi unajua ZITTO tangu SHUGHULI ianze MJENGONI YUKO WAPI? kama ujui yuko jimboni kwake kunadi sera za CDM-M4C, unataka afanye nini? halafu akifukuzwa shughuli hiyo utaifanya wewe? mtu siyo lazima siku zote afukuzwe ndio ionekane ameadhibiwa UKIMPUUZA NIADHABU TOSHA
Mwenge waUHURU hukimbizwa kila mwaka nchi nzima ukiwana kauli mbiu mbalimbali, katika mbio hizo mwenge huzindua majengo mbalimbaliya umma kama vile Ofisi, Zahanati na Shule ambapo zaidi ya 95% ya majengo hayo yanakuwa yamejengwa chini ya kiwango.Utasikia ndugu mgeni rasmi ofisi hii imegharimu...
Ki-uhalisia hata kama ni kipofu huwezi kuwa shahidi,usuluhisho wa DRC na M23 ulifanywa na nchi 14 za SADC iweje mashahidi wawe nchi 3 tu kati ya 14? kimsingi nchi za TZ, ANGOLA NA S.AFRICA ndio zina majeshi imara KAGAME NA M7 walikuwa wamewatega,wangekubali tu vita ingaenza rasmi DRC chini ya...
don't worry juu ya maandamano siku si nyingi mtaanza tu maandamano yenu mara tu baada ya kupangiwa vituo ili mpewe pesa za kujikimu pamoja na kucheleweshewa mishahara kwani wengine mtakaa vituoni bila mshahara miezi hadi 4
Ndoto ya siku nyingi ya Wanyarwanda (Watusi) ya KUTEKA na KUTAWALA eneo lote la Maziwa makuu (DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, TZ na Kenya), inaelekea kutimia.
Baada ya kuzitawala Uganda (Gen.Yoweri K. Mseveni), Rwanda (Gen. Paul Kagame) na DRC (Gen. Hypolite Adrian Christophe Kanambe a.k.a...
Vipi huko kwenu CCEMI ,,,,,MAGAMBA yaliishaje? mulitoa maamuzi gani MAGUMU? NA bado pale MAGOGONI maamuzi gani MAGUMU mlioyatoa kwa Mzee wa RADA na RICHIMOND? acha utani bwana CDM na M4C wewe mweyewe UNAVIGWAYA,
Vipi huko kwenu CCEMI ,,,,,MAGAMBA yaliishaje? mulitoa maamuzi gani MAGUMU? NA bado pale MAGOGONI maamuzi gani MAGUMU mlioyatoa kwa Mzee wa RADA na RICHIMOND? acha utani bwana CDM na M4C wewe mweyewe UNAVIGWAYA,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.