CHADEMA yashindwa kutoa maamuzi magumu

CHADEMA yashindwa kutoa maamuzi magumu

Kikao kikubwa cha CHADEMA kimeshindwa kufikia maamuzi magumu dhido ya Zitto na Shibuda. Pamoja na mikakati mizito iliyoratibiwa na Heche kwa kivuli cha BAVICHA wameishia kugawanyika kwa wajumbe wa kikao.

Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki hakina dira wala muundo unaoeleweka kufikia maamuzi ya busara. Watanzania tuwe makini na hiki chama kinachoazimia kwenda MAGOGONI wakati hawana utashi wa kutoa maamuzi magumu.
Wanawaiga wenzao kushindwa kuwavua gamba, na wao gwanda limeng'ang'ania wakifikiri rahisi.

Wawavue Zitto na Shibuda kama watapata gwanda la kutosha kufunika aibu yao.
 
Kweli inasikitisha kwani wanamuogopa sana zitto na shibuda matokeo yake wanaishia kuja humu jf kuwatukana halafu wakikutana nao wawakenulia meno
 
Kikao kikubwa cha CHADEMA kimeshindwa kufikia maamuzi magumu dhido ya Zitto na Shibuda. Pamoja na mikakati mizito iliyoratibiwa na Heche kwa kivuli cha BAVICHA wameishia kugawanyika kwa wajumbe wa kikao.

Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki hakina dira wala muundo unaoeleweka kufikia maamuzi ya busara. Watanzania tuwe makini na hiki chama kinachoazimia kwenda MAGOGONI wakati hawana utashi wa kutoa maamuzi magumu.

mara ya mwisho ccm mllichukua lini maamuzi magumu?
 
Kikao kikubwa cha CHADEMA kimeshindwa kufikia maamuzi magumu dhido ya Zitto na Shibuda. Pamoja na mikakati mizito iliyoratibiwa na Heche kwa kivuli cha BAVICHA wameishia kugawanyika kwa wajumbe wa kikao.

Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki hakina dira wala muundo unaoeleweka kufikia maamuzi ya busara. Watanzania tuwe makini na hiki chama kinachoazimia kwenda MAGOGONI wakati hawana utashi wa kutoa maamuzi magumu.

Walikwambia wanakutana ili wafanye maamuzi magumu? Chadema ikikohoa tu CCM inaanza dua kuiombea kifo. Amin nawaambia,kumbukeni yalomkumba Sheikh Yahya....alitabiri mgombea kufa matokeo yake akafa yeye.
 
Kweli inasikitisha kwani wanamuogopa sana zitto na shibuda matokeo yake wanaishia kuja humu jf kuwatukana halafu wakikutana nao wawakenulia meno

kama nyie mlivyomfukuza lowasa na chenge
 
Uwe mkweli chama chenu hakina uwezo wa kutoa maamuzi magumu, mwaogopa kupungua kwa ulaji wa Dr. Slaa kupitia ruzuku ya kila mwezi

Ni kweli wanaoweza kufanya maamuzi magumu ya kumpa ukatibu mkuu mpu licha ya mlolongo wa uchafu na kashfa alizo nazo, hakuna maamuzi magumu kama ya kusamehe wezi wa EPA na kuwaomba warudishe pesa, hakuna maamuzi magumu kama mwenyekiti wa chama kuwa na orodha ya majina ya wauza madawa ya kulevya na akayakalia.

Chama pekee kilichoweza kufanya maamuzi magumu ni ccm tu
 
Watu wengine ni comedy mana imebidi nicheke ingawa naumwa.Aliyekwambia chadema ilikuwa na agenda hizo ninani? polesana najua umekuja kigoma kupata posho toka kwa wezi wenzio!
 
Wana JF heshima kwenu wakuu !!!! Ni vyema MAFILILI ,AlP0L0 na wengine wengi mnaotumiwa kutoka Lumumba mkaelewa CHADEMA huwa hatufanyi maamuzi kwa kukurupuka, wala kwa kufuata mnavyotaka nyie Magambaz. Kabla hatujafanya maamuzi yoyote yale tunaangalia madhara na faida zitakazo jitokeza baada ya maamuzi na siyo kukurupuka kama jadi yenu maCCM na matokeo yake mnaishiwa kuzomewa kila mpitapo. Magamba mnapendekeza Zitto na Shibuda wafukuzwe kwenye chama, lakini cha kushangaza hamko tayari kuelezea sababu za wao kufukuzwa. Masalia na wote mnao tumiwa ni vyema mkatambua haijawahi na haitatokea AKILI NDOGO IKAIONGOZA AKILI KUBWA. Mathalani kitendo cha CHADEMA kumtimua Shibuda kitaliingiza taifa kwenye gharama za uchaguzi usiokuwa wa lazima, na hapo ndipo AKILI KUBWA ikaliridhia kumwacha Shibuda kama alivyo ili ashughulikiwe na wananchi wake wenyewe ifikapo mwaka 2015. Hoja ya kuwa hawa jamaa tuna waachaa ndani ya chama kwa ajili ya ruzuku nafikiri ni uvivu wa kufikiria. Mkuu MAFILILI kama mnatarajia kulichukua jimbo la Shibuda hata mara baada ya yeye kuondoka ni ndoto za mchana kweupe, kwa hilo nawapa pole. Kama huamini subiri majibu ifikapo hapo 2015.
 
Vipi huko kwenu CCEMI ,,,,,MAGAMBA yaliishaje? mulitoa maamuzi gani MAGUMU? NA bado pale MAGOGONI maamuzi gani MAGUMU mlioyatoa kwa Mzee wa RADA na RICHIMOND? acha utani bwana CDM na M4C wewe mweyewe UNAVIGWAYA,
 
Kikao kikubwa cha CHADEMA kimeshindwa kufikia maamuzi magumu dhido ya Zitto na Shibuda. Pamoja na mikakati mizito iliyoratibiwa na Heche kwa kivuli cha BAVICHA wameishia kugawanyika kwa wajumbe wa kikao.

Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki hakina dira wala muundo unaoeleweka kufikia maamuzi ya busara. Watanzania tuwe makini na hiki chama kinachoazimia kwenda MAGOGONI wakati hawana utashi wa kutoa maamuzi magumu.

Mtambo wa Gongo.
 
kamuulize kibaraka wenu Shibuda atakwambia shughuli ya chadema pumbavu zenu na huyo kibaraka..

Hata ukitukana bado aisaidii kitu kama mna ubavu mfukuzenu Shibuda basi au Zitto.
 
Kikao kikubwa cha CHADEMA kimeshindwa kufikia maamuzi magumu dhido ya Zitto na Shibuda. Pamoja na mikakati mizito iliyoratibiwa na Heche kwa kivuli cha BAVICHA wameishia kugawanyika kwa wajumbe wa kikao.

Huu ni uthibitisho kuwa chama hiki hakina dira wala muundo unaoeleweka kufikia maamuzi ya busara. Watanzania tuwe makini na hiki chama kinachoazimia kwenda MAGOGONI wakati hawana utashi wa kutoa maamuzi magumu.

halafu kesho mnatoa vitabu kuwa jf ni ya chadema wakati mnatema pu.mba humu na zinaachwa hewani...
 
Hata ukitukana bado aisaidii kitu kama mna ubavu mfukuzenu Shibuda basi au Zitto.

so what?yaan madai yenu ni sawa na mtu katembea na mke mtu kwakusudio ili mumewe amuache.inasikitisha mgoni kulazimisha aliyefumaniwa apewe talaka then unakuwa na maswali mengi lengo hasa nini?
 
Back
Top Bottom