Recent content by Castro A

  1. Castro A

    Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Usiseme fuata mkumbo..kwani kitu kizuri si kinaonekana asa wewe utakalia design ya zamani kisa kuna changamoto kwenye design mpyaa..hakuna changamoto isiyotatulika kwenye ujenzi,acha uoga!
  2. Castro A

    Huwa unatumia kiasi gani cha pesa kwa siku?

    Mimi kiwango cha chini 18,000/ hii ni siku za kawaida, jamani weekend ndo balaa kuanzia ijumaa-jpili hapa huwa napasuka kati ya 50,000 - 70,000.. mwenye mbinu mbadala namna ya kuepuka hii zahma ya weekend namkaribisha kwa mawazo ya kunijenga!
  3. Castro A

    Wadada Fungukeni: Ni mwanaume gani lofa zaidi ushawahi kutana naye hadi leo ukikumbuka unaishia kusema hiiiii

    Mwamba kweli we complicator..asa ama ulikuwa unajua geto huna ndomu si ungejiongeza pale 4 ways ungeenda nunua pack zako 2 uajilie mtoto huyo,nyie ndo huwa mnafanya tuonekane wanaume wote malofa!! Yaani huyo demu akufungie na milango abisa sio vioo tuu.
  4. Castro A

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Mjiliwaze nini lipeni madeni ya watu bana nyie ndo mnafanya tusiwakopeshe wengine wenye shida kwasababu ya mambo yenu kama haya.
  5. Castro A

    Barabara za juu Ubungo mataa mbona naona kama hazikidhi vigezo?

    Sio mbaya kwa hoja yako, lakini kimsingi ilibidi uhoji kuhusu vipimo kwanza ili kufahamu je kipimo kilichotumika ni sahihi au sio sahihi..na kipimo kitakiwa kiweje kwamaana sio rahisi kujua kipimo halisi kwa kuangalia.
  6. Castro A

    Halafu tunalalamika ajira ngumu.. hivi kweli!!

    We nawe unaroho mbaya tu..asa mtu amekwambia muelekeze aipeleke kama kweli ulikuwa na nia nzuri kwanini usimtumie namba umwambie ofisi ipo sehemu fulani ukifika mcheki huyu mtu atakupokea alaf ukishamtumia hiyo namba unamcheki jamaa yako..simple like that!
  7. Castro A

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Msamaha hapo n wao kutoa walivyokomba ndo mzee baba kasema msamaha wao.
  8. Castro A

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Daah alafu kweli mkuu kwanini hili jambo kwetu hata watu hawahoji au madaktari hawasemi chochote?
  9. Castro A

    Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Usikimbilie kuwa mtu kabambikiwa kesi, we ushahidi wa kusema kambakiwa kesi unao? na labda unataka zikamatiwe wapi ili ijulikane kuwa ni kosa? kwenye haya mambo kuna looser na winner so inawezekana jamaa kawa looser kwa kukaa nazo nyumbani kwake hivyo usikimbilie kusema mtu kabambikiziwa kesi...
  10. Castro A

    Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Mkuu na hizo pembe za ndovu vp anaruhusiwa kuwa nazo?au kawashikia wazungu na waarabu wenzake ambao hawapendi kusafiri nazo?
  11. Castro A

    Takwimu za UKIMWI Tanzania kwa mwaka 2018

    Hizi takwimu hazina uhalisia..iweje kaskazin pemba na kusini unguja ikose watu walioambukizwa ukimwi?wanataka wawaaminishe watu hamna ukimwi kumbe upo ili wawamalize kiurahisi..inabidi mjue na sababu za kutengenezwa kwa virusi vya ukimwi. ova!
  12. Castro A

    Daraja la Mto Wami kulikoni Serikali inalifumbia macho? Tunasubiri vifo ndio tukurupuke?

    Mkuu embu acha masihara na daktarii tena usimfananishe na mambo ya kijinga...embu mchukue mkulima akafanye upasuaji wa moyo alafu mtu aendelee kuishi kama kawaidaa.. kulima si unatumia mijinguvu tu..we kushika jembe na kutifua ardhi nani anashindwa? sasa nenda kamfanyie upasuaji mama mjamzito...
  13. Castro A

    Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    :D:D:D Tulia mkuu shemeji ajilie vyake..
  14. Castro A

    Karibu The great lakes secondary school

    Mkuu mbona kwa namba hiyo ya usajili S.1424 NECTA inaonesha ni usajili wa shule nyingine iliyopo simiyu imekuwaje na nyie muwe na usajili wa namba hiyo tena?
Back
Top Bottom