HAPO HAKUNA KAZI NDUGU ZANGUNI KUWENI MAKINI SANA NA HAO WATU,HASA HUYO MR. MWESIGWA NI TAPELI TUU. NIUMEFANYA MAWASILIANO NA MWANZA COMMUNITY BANK NA WAMENITHIBITISHIA KUA WALISHASIKIA HILO TANGAZO NA WALISHAFAFAUNUA KUA HAWAJATOA NAFASI ZA KAZI KWA SASA HIVYO HUO NI UTAPELI TUU,KAMA KUNA MTU...
Huyu jamaa hata mimi kanitumia msg this morning akitaka nimtumie pesa sasa mimi nimemwambia nataka kuongea nae amedai kua atanicheki jioni ili nizungumze nae,am waitning for his col, lakini pia cha msingi ni kupata namba za mawasiliano za Company ndio tuulize hizo details kama ni za kweli kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.