Chato ni Tanganyika kama ilivyokuwa Machame au Rombo,mahaba ya mtangulizi wake na Chato hayakuzidi ya Mramba, Msuya na wote wa kutoka Migombani walivyoipendelea Kilimanjaro yao na kubebana kwenye mashirika yetu ya Umma kama TRA na bandarini kama ni mali ya ukoo wao, atleast mtangulizi wa mama...
Naona umeshakula machalari yako hapo na umeshashushia na mbege yako ya moto huku ukikumbuka utamu wa shughuli ya Sabaya kukunyang’anya mke wako Bwasheee😁
Tunawajua Bwashee ndio maana nyinyi ndio mnaongoza kwa chuki na umimi na kubebana bebana na ufisadi na ukabila,endelea kuimba mwamba wenu mzee wa konyagi aliyeshughulikiwa na Sabaya hadi akahama nchi awavushe huku nyinyi mkimpa michango tuu huku ruzuku akiitafuna yeye na ukoo wake,Magufuli yuko...
Yuko moyoni wa Tanzania wanaojua maana ya kuwa watanzania sio kabila letu kwanza ,sio wavivu wa kutafuta mitaji hadi muibie serikali au waajirini wenu,majigambo ya bure kumbe mnataka kubebwa tuu,mpewe furasa za wizi ,hamtamtoa Magu kamwe kwenye mioyo ya watanzania ili mumreplace na yule mzee...
Sawa Bwashee wewe ni wa Uru Kishimundu au Machame ?manake haya maandishi tunayajua wazee wa kanda yetu ya uchoyo,wizi na ufisadi kubebana,ukabila na malalamiko na chuki kwa kiongozi yoyote atakaye wanyima fursa za kuiba na kubebana. Bwashee mnazidi kujitengezea chuki na watu wengine, Magu yuko...
Yani Mzee William hadi leo na akili yako yote ya kuishi marekani miaka 31 na kurudi bongo na dollars1000 bila karatasi yani a very big failure kwa jinsi how easy kupata green card US especially kwa wazee kama nyinyi mliokaaa kwa muda mrefu kule lakini kwa tatizo la akili yako ndogo umekosa green...
We nawe acha ufala sio kila mtu ni x wa Lemutuz,huyo Le Kibamiazi anajishtikizia kila dakika na wakati maisha yake yote ya mitandaoni yani like an old public joker,Mimi ningekuwa huyo mke wake unafikiri ningemuexpose kiasi gani na siri zake zote na miaka yote walioishi?Me Kibamiazi aache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.