Msaada namna ya kupata Driving Licence na gharama zake

Nenda chuo cha udereva kinachotambulika, Ada haizidi laki 2 halafu elfu 3 ya Lena andaa elfu 40, utakuwa umefikia kiwango cha awali cha udereva utapewa daraja "A", "B" na"D" ukitaka na E itabidi uongee na vehicle kwa herufi kubwa hiyo herufi kubwa haina risit hivyo hata kiwango hakijulikani
Acha uongo Lena gani elfu 3??mwaka gani huh 2017 au mwngne? Lena elfu 10 kwa dar pale Tazara. Na daraja la kujifunzia huwa ni H ambapo Hapo Ndio utakuwa unasomea either darasa A,B,C na kuendelea.
 
Achana na process zote hizo za usumbufu kama unajua kuendesha gari we nenda tra pale milinium towers makumbusho utakutana mdogo wafanya kazi pale wa tra ukiwaambia shida yako tu watakupa driving licence yako ndani ya two days,mimi yangu nilimpa mshkaj pale tra shilingi laki na ishirini ijumaa na jumamosi nikagenda kuchukua driving licence yangu.
 
Nyie ndio tunaowatafuta

Ulipata yenye madaraja gani?
 
Sory mkubwa, hivi hua inachukua muda gani kuhitimu mafunzo ya udereva,mfano pale NIT au VETA..?
 
Achana na process zote hizo za usumbufu kama unajua kuendesha gari we nenda tra pale milinium towers makumbusho utakutana mdogo wafanya kazi pale wa tra ukiwaambia shida yako tu watakupa driving licence yako ndani ya two days,mimi yangu nilimpa mshkaj pale tra shilingi laki na ishirini ijumaa na jumamosi nikagenda kuchukua driving licence yangu.
mkuu una namba ya mmoja wapo kwasababu nahitaji hii kitu?
 
Achana na process zote hizo za usumbufu kama unajua kuendesha gari we nenda tra pale milinium towers makumbusho utakutana mdogo wafanya kazi pale wa tra ukiwaambia shida yako tu watakupa driving licence yako ndani ya two days,mimi yangu nilimpa mshkaj pale tra shilingi laki na ishirini ijumaa na jumamosi nikagenda kuchukua driving licence yangu.
mkuu habari
 
Back
Top Bottom