Recent content by Carseloi

  1. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nina 40M ninunue hisa CRDB, NMB au niwekeze UTT?

    Noma sana..anaweza pia akawa anaendelea vizuri tu na mishe ziingine.
  2. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nina 40M ninunue hisa CRDB, NMB au niwekeze UTT?

    February 27..mzigo unasoma 3000+ Crdb
  3. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    350k February..now mpaka 300k unapata...
  4. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Hapana bhana ..Mimi nina miezi 6 sasa..Ram 12GB.. storage 256GB..Mimi matumizi makubwa ni mobile games..
  5. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Aquous kinanda sana..natumia Aquous r7..
  6. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    Hisense & TCL zitaudi Kwa peak ya hatari
  7. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    Shukrani mkuu nimekuelewa ...na ndiyo miezi hiyo hiyo ya bajeti mpya ya serikali hupitishwa na ya zamani inakua inaishia.
  8. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    Samahani mkuu sio Kwa ubaya...hivi kwanini Hisense & TCL zimeshuka bei ghafla sana?
  9. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana mkuu Kwa hizi classics 🔥
  10. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shukrani in advance. 1.Inaniuma sana 2.Sitaki demu 3.Sitaki demu remix 4.Jela 5.Salio la vesi 6.Aah wapi 7.Ugali 8.Hali ngumu 9.Umoja wa Tanzania (Ft Professor Jay)
  11. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu ...msaada album ya Juma Nature "Ugali"
  12. Carseloi

    JamiiForums Tanzania Je Kylian Mbappé ni mchezaji mwenye gundu?

    Dembele vipi ?
Back
Top Bottom