Je Kylian Mbappé ni mchezaji mwenye gundu?

Je Kylian Mbappé ni mchezaji mwenye gundu?

Alikuwa hajapita kwenye ligi za kiume, Ilikuwa ni suala la muda kuona ubora na mchango wake kwa timu

All in all
BARCA BINGWA[emoji7]
YANGA BINGWA[emoji7]
LIVERPOOL BINGWA[emoji7]

Hamna cha ligi za kiume wala zakike ukijua unajua tu popote pale yeye kama yeye anatimiza wajibu wake goli 27 ktk msimu wake wakwanza
 
huwezi tarajia ushindi kwenye timu ikiwa Tapingham ndio attacking midfield wa timu anaetarajiwa kutuo mabale na kutengeneza mashambulizi watu wa funge, unaishia kumuona chini box dogo anasubiri tapins na ukimuona kati unamkuta yupo anaslide anagaragara. PUMBAV kabisa
 
We unaona Kuna beki ya kukupa ubingwa pale Madrid!?
Wao wameshakubali msimu wa hovyo
 
Alikuwa hajapita kwenye ligi za kiume, Ilikuwa ni suala la muda kuona ubora na mchango wake kwa timu

All in all
BARCA BINGWA😍
YANGA BINGWA😍
LIVERPOOL BINGWA😍
Mkuu umepita kwenye timu zangu pendwa.
Hiyo ya mwisho kwangu ndiyo ya kwanza.
 
Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi!

Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia kwenye El classico hii pamoja na nyingine iliyopita, Huwa ana score lakini ushindi wa timu hakuna!

INASHANGAZA.
All in all, Barcelona Bingwa, Yanga Bingwa.
Mbappe bado ana mda wa kufanya makubwa na Madrid,msimu ulianza vizuri ukaisha vibaya kwa timu ila yeye binafsi namba zae sio mbaya anahitaji timu ifanikiwe tu namba zake zimbebe kama best player of the season
 
huyo Jamaa ni Takataka
1000034458.jpg
 
MBappe hana shida, shida ipo kwe ye beki na viungo, Suremen na mwenzie hawaelewani, mmoja anatega offside mwingine anaiua, katikati, JUDE ndo shidaa kaflop sana tena sana,
Juse alikuwa na mwaka wa kwanza mzurri sana Madrid, kama sijakosea ndio alikuwa La Liga player of the season naamini fatigue imechangia ku_flop kwake.
 
Back
Top Bottom