Recent content by Carpensis

  1. C

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Lazaro Nyalandu?

    Amejaa tele anakula bata kwa kwenda mbele,ni CEO kwenye Makampuni yake
  2. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ziara ya Rais Magufuli bandarini haikuwa na jipya, amefanya kazi iliyotakiwa kufanywa na Afisa wa TRA

    TL alishasema tuna jamaa wa ajabu kwelikweli sasa ndio mjionee
  3. C

    JamiiForums Tanzania AG anayetuhumiwa na Rais kuchakachua sheria iliyopitishwa na bunge ni nani? Kwanini hajakamatwa?

    Duh hii nji bwana!! Yaani kutwa ni " One Man Show"
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mtangazaji wa ITV, Sam Mahela?

    Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani. Naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha Dk 45 ITV Jumatatu hakiwi kama ilivyo ada.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wapi Sam Mahela

    Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha dk 45 ITV jumatatu hakiswii kama ilivyo ada
  6. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Kwa upuki wako unadhani Prof. Akiondolewa ktk nafasi ya mwenyekiti wa Bodi atapoteza kitu??!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    Amtoe gerezani kwani yeye mkuu wa Gereza? Wacha upuki wewe
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kidato cha 5 kupangiwa shule

    Not yet Uhuru
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kula hii kitu?

    Kitu gani
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kununua Mpunga

    Njoo mbarali utakutana na Saro5 gunia 140,000-150,000/=
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Malasusa aondolewe kabisa msaliti mkubwa huyu lakini bado kashfa ya Ugoni haiwezi kumwacha salama
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Jamaa Lina sura Mbaya halafu linapenda sana kuongea na vyombo vya habari,eti watapigwa Kama mbwa koko
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ulazima Mkuu wa Majeshi kuhudhuria uzinduzi wa tawi la benki?

    Yaani siku Wakuu wa vyombo vya ulinzi wamebadilishiwa job descriptions, wao kutwa kwenye mauzinduzi hata wa vyoo vya stend, mara barabara nk. I wish i could be igp
Back
Top Bottom