Huu mjadala nauandaa kwenye ZOOM, wale mtakaokuwa interested kujoin naomba tuma DM, to confirm your patcipation.
Hili ni janga kama majanga megine, tupige kelele!..
Jifunze na tafsiri ya ndoto unazoota.kuna nyingine ni za kukuathiri bila kujua. Naamini kabisa Kuna ndoto unaota unaziona salama kumbe sio salama Kama unavyofikiri. Refer ndoto aliyoota Yusuph.....ilimheshimisha baadae Ingawaje ilimsotesha Sana.
Kama mwanaume ukiamua kuwa na single maza lazima ujue upaende wa pili kunani. Kwa mfano: nilizaa na mtu na hakuwa na interest ya kunioa, anahudumia mtoto wake, na malezi ya baba na mama remotely yapo, sidhani kama wewe unayekuja na nia ya kunioa nitaacha kukwambia huu ukweli. Kibaya zaidi, kama...
Seconded! unajua kuzaa nje ya ndoa ni utovu wa nidhamu, unajidhalilisha wewe kama mwanaume kichwa cha familia. Huwa najiuliza kitu fulani, hivi hayo unayotafuta huko nje, unashindwa kumwambia mke afanye? au ndio hela ikizidi inabidi utafute wa kutumia nae.
Ni vizuri wanaume muanze kukaa kwenye...
Naam, umenena vyema. vyovyote vile, kama wanakaa na mama basi baba arushusiwe kuja kusalimia na kushiriki kama baba na kama baba ndio anaishi na watoto basi mama arushusiwe kuwaona wanae. hiyo kidogo itapunguza ukakasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.