jaman wadau sioni raha kabisa kuona ukurasa wangu haua hata rafiki mmoja, nimejaribu kutuma request but hakuna jibu So jaman naomba mniunge mkono katika hili but remember to Make as many friends as you can coz ur success is not what you have but who you are. Thanks:A S kiss:
Dah ee bwana wadau mim katika hii account cna rafki hata mmoja yan, nahitaj marafik kwa kweli coz kuna msemo unasema ''Make as many frieds as you can because your success is not what you have but who you are.''
Angalia na wew unatudangany, nani kasema wanatumia grade mpya??? Grade mpya ndizo zilizotumika, ok kwa kukusaidia tu Serikal wanatumia mfumo wa mwaka 2011 ambao una grade za zamani, Grade mpya watumie mara ngap??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.