THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Simba = (Daudi) Vs Yanga=(Goliathi) anaye bisha akasome biblia kilichotokea kati ya Daudi na Goliathi.
Simba oyeeee
Libolooooooooooo!!!!!!!!!!!.. Ila kexo nita kuunga mkono ktk kumu angamiza yeboyebo.
Hata Goliathi alitukana sana tena kwa dharau kuona kamtu kaliko jitokeza kupambana naye....nini kilichotokea. Alikula jiwe moja tu chali na umwamba wake... walinzi wake wakakimbia kuona jitu la miraba minne limepigwa .. Dogo hakuishia hapo akamkata na kichwa kabisa kwa upanga wake mwenyewe Goliathi.Tangu wiki iliyopita nimekuwa nikikutana na Thread humu ndani juu ya mechi ya simba na Yanga kesho,lakini cha ajabu kila kwenye Thread hizo kulikuwa na makosa makubwa makubwa sana,mmoja nikaona anasema eti Yanga leo hawatingia uwanjani kwa mujibu wa Dawa zake,sasa kuangalia ilikuwa ni Jumamosi iliyopita nikajiuliza kwamba huyu jamaa anafikiria nini?!,juzi tena nikaona Thread nyingine inazungumza mambo ya ajabu ajabu tu kuhusu mechi hiyo,leo nimeona nyingine tena ni utumbo mutupu,na sasa hivi tena naona kituko kingine kama hiki,hivi mleta mada mbona anapata kiwewe sana na mechi hiyo?!,ninachotambua Yanga kesho pia ua lazima ashinde mechi hiyo tena nawaonya simba hupo mchezo wanaotaka kuufanya wa kuwachezesha hao madogo wataumbuka,sikubaliani na hilo hata kidogo,sijui hasa idadi lakini ninachokiona hali itakuwa mbaya sana kwa simba kama kweli watawachexesha hao madogo mimi najua watahimili sana dakika 30 za kwanza lakini baada ya hapo itakuwa ni shughuli pevu,nawaambieni na naomba maneno yangu haya myacopy ili kesho mje nayo humu ndani,sijui sana idadi ya mabao lakini simba nihurumia.
Mwanzisha thread usilete habari za KUSADIKIKA hapa lazima mchezee LIBOLO.
Then wadau ee nahtaj marafiki jamann