Recent content by carism

  1. C

    JamiiForums Tanzania #WhatWouldMagufuliDo: Upepo wa Rais wa Bongo wavuma Ughaibuni

    Ni kweli, habari za mtu huyu zimeenea miji yote ya Galilaya. No masia ea Tanzania Dr. Pombe Magufuli. Allah amjalie aendelee kumagulify
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Prof Lipumba, Ikulu - Dar es Salaam

    Dr.Magufuri rais wetu asisaha kuisagisha TPDC kuna uozo katika mikataba ya gesi, namsubiri Waziri mkuu akija Mtwara nimuonyeshe jinsi TPDC walivyoliingiza taifa katika janga la uchumi wa gesi asilia
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa leo kuibua mazito

    Nani alimuindozi lowasa katika nafasi ya urais? Mbowe!!! Hahahaha....
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nani kampa Lowassa Cheo cha 'Kiongozi Mkuu wa UKAWA'?

    Kwenye tasinia ya gesi as ilia kama ilivyo kwa biashara nyingine mwenye hisa nyingi ndiye operator wa kisima, lowasa ana hisa nyingi Chadema kwa hiyo ni lazima awe operator wa UKAWA. Sawa sawa?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu bosi mpya wa TPDC

    TPDC walileleka maombi EWURA kupandisha mishahara mkurugenzi mkuu tsh 36,000,000/= kwa mwezi, mkurugenzi msaidizi tsh 28,000,000/= karani tsh 5,400,000/= so uaishangai. Umenisoma braza
  6. C

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Naomba nialikwe kwenye mdahalo huu Mimi nagombea jimbo la Mtwara mjini kupitia ACT-WAZAENDO tafadhali waandaji naomba kushiriki
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu na Raia Mwema; Niliwaheshimu sana na kununua Raia Mwema

    CDM members your leaders might be wrong. Learn to think for yourself.
  8. C

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo waipa pigo zito CCM mjini Dodoma!

    Bavicha no wavivu wa kufikiri. Wanangonja mbowe afikiri kwa niana yao na alisemalo yeye ndilo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wazomewe! Awataka CHADEMA warejeshe nyumba za Serikali

    Tunataka mabadiliko il a lazima ya mabadiliko yanayoletwa na waadifu siyo lowasa, sumae, mbowe na lisu wamepoteza integrity
  10. C

    JamiiForums Tanzania Damu ya MoU mikononi mwa Lowassa na damu ya Mwembechai mikononi mwa Sumaye, ni najisi kwa UKAWA

    Lowasa mwenyewe ni mdini umrdahau juzi amewaomba walutheri wampigie kura kwa sababu yeye ni mrutheri
  11. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kesho atasema nini?

    Critical thinking is the missing course in our college curriculum that is why most chase a followers. Your leaders might be wrong. Learn to think for yourself.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa mwana UKAWA huruhusiwi kukosoa chochote ndani ya UKAWA?

    Your leaders (Mbowe, Mbatia and others) might be wrong. Learn to think for yourself.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Buzwagi: Lowassa Alikuwa London Siku Ya Mkataba

    Kubenea anatakiwa afute makala zote alizomtuhum el ndiyo Salama yake.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Simbachawene apuuza tuhuma kuuzwa gesi ya Mtwara

    Huyu waziri ni muongo eti anasema gesi haijauzwa popote, ukweli ni kwamba gesi imeanza kuuzwa tangu mwaka 2007 tulipoanza kutumia umeme unaotokana na gesi Mtwara.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Acha uongo wewe mtoto wa kiume
Back
Top Bottom