Recent content by cariha

  1. cariha

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Vunja bei pia bidhaa zake ilikuwa low quality so mteja akienda mara moja harudi sijui kwanini wafanyabiashara huwa hawajifunzi, pia la jezi ya simba alinichosha ni kijana wa hovyo ambaye hakutumia fursa matokeo akatutesa mashabiki hadi hamu ya kununua jezi ikafq na alikuwa anapandisha hadi laki...
  2. cariha

    JamiiForums Tanzania Pesa na kazi havitoshi kumpa furaha mwanamke. Binti wa Ruto ajitokeza kuombewa ili apate mume

    Cha ajabu Nini kupata mwenza yeye anahitaji true love basi vingine vyote anavyo Tena yeye ni smart ataka mume mwema. Pia hata wanaume wengi wapo Wana struggle kupata wake wema uwepo wa wanawake wengi sio guarantee ya kupata upendacho
  3. cariha

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

    Huyu mzee ni lini atapumzika ale pensheni yake Kwa amani na alee wajukuu
  4. cariha

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wapo nyuma ya Profesa Janabi?

    Bado tu kusema tusimamishe kisimi mara Moja Kwa miezi sita huyu
  5. cariha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama kweli Pesa ni kilainishi

    Hongera Kwa kutimiza ndoto yako ulipenda kweli basi tu mihangaiko mingi
  6. cariha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Yule Maza wa vitenge yule Chibonge sidhani
  7. cariha

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Glad to see you Yoga, karibu tena
  8. cariha

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Ina base kwenye uhalisia
  9. cariha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Ni Wachache and it's dangerous na mateso sana
  10. cariha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Mayai Kumi tutayabebaje watoto mapacha tu Huwa ni shida
  11. cariha

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    I think kilichomuweka na kuishi long time Mzee fursa Kwa wote ni tabia ya kuwa kimya na kutoingilia awamu za watu Huwa yuko mbali, hata hyo ya marope nadhani ilikuwa kujionyesha hayuko nao pia Kwa ajili ya mwanawe. Kilichoondoa ex CEO wa company hii ni kiherehere chao kuingilia yasiyo wahusu ka...
  12. cariha

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Halo BT tumpe maua yake ujue PAKA angechekewa angeanza kutusumbua sumbua ka vile anavoisumbua Bukavu hakutawaliki
  13. cariha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Lakini hao viumbe mara moja anazalisha hata mia hivi tofauti na binadamu inakuwa mtoto mmoja
  14. cariha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Vitu vingine vigumu kweli unaongeza kizazi Kwa mwingine kufa ? Njia nyingine mbaya
  15. cariha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Hapana ingekuwa kufa hapo hapo ningebaki tu bikra kuepuka kuua watu bure
Back
Top Bottom