Recent content by Caren

  1. Caren

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mahakama kuu kesi ya kupinga bunge la katiba ya tanganyika law society

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo mchana (17.09.2014) imetupilia mbali mapingamizi 4 (Preliminary Objections) yaliyowekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) katika kesi ya kupinga kuendelea kwa mchakato wa Bunge la Katiba iliyofunguliwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law...
  2. Caren

    JamiiForums Tanzania Komando wa kike Jeshini

    Sasa kambi ya zanzibar ni ya nini? Ni kambi ya JWTZ lakini ina kazi maalum. Ingekuwa si kinyume cha sheria na viapo ungepata hints zaidi.
  3. Caren

    JamiiForums Tanzania Komando wa kike Jeshini

    Wapo wadada wa 3 waliopitia mafunzo ya commando kwenye kambi ya TISS ya Zanzibar. Walikuja morogoro (JWTZ) kwa muda ila kwa sasa wako idarani TISS.
  4. Caren

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Labda kwa kujibu swali lako kuhusu pre nuptials na post nuptials naomba nikuhakikishie kuwa zinakubalika Tanzania (ingawa sheria haiko wazi sana katika hili hasa kifungu cha 58). Hapo nilipohighlight panatoa posibility ya kuamua ni mali zipi ziwe za ndoa na zipi zisiwe za ndoa. Uamuzi huu (kwa...
  5. Caren

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Mtoa hoja ana hoja. Kasema kweli. Watu wanaonunua degree wapo tena wengi. Bahati nzuri nimegraduate MBA Corporate Management ya Mzumbe. Niliifanya kwa jasho na damu yangu n m proud of my thesis and findings. Bahati mbaya sana, wapo wenzangu ambao thesis zao ni of questionable quality and...
  6. Caren

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu ajali ya basi kwa abiria

    Labda nikuongoze kidogo. shauri lako linaweza kuingia katika vipengele viwili. Moja ni sheria za madhara (kwa kiingereza tort) kwa wale mlioumia na sheria ya Fatal Accidents kwa wale waliofariki. Kiutaratibu kuna michakato miwili huendelea mahakamani. Mchakato wa Kijinai kupitia Road traffic...
  7. Caren

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada harakwa wa kisheria!! Majanga kazini.

    Mcheki huyu jamaa 0754505406 anaweza kukusaidia.
  8. Caren

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria plz kwa anayejua...

    Huyu mke wa pili ndio mwenye haki ila haki yake si kama ya mke bali kama mtu "anayedhaniwa kuwa mke kwa dhana ya section 160 ya sheria ya ndoa.
  9. Caren

    JamiiForums Tanzania Sheria na ukimwi

    Angalia kifungu cha 35 cha sheria ya kuzuia maambukizi ya ukimwi. Ni kosa la jinai kumwambukiza mwenzio.
  10. Caren

    JamiiForums Tanzania Je sheria inasema je juu ya matumizi ya jina la bidhaa ya mtu mwingine

    Ni kosa kisheria hasa kama ni registered trademark.
  11. Caren

    JamiiForums Tanzania Women's access to land in Tanzania

    Yes. Angalia kipengele kati ya 1 - 10 cha sheria ya ardhi ya kijiji. Utapata jibu. sikumbuki ni kifungu kipi ila nahisi ni cha 4.
  12. Caren

    JamiiForums Tanzania Social welfare lawyers

    Duh sijui unataka usaidiweje maana kama ni private tafuta mawakili. wapo wengi sana pale Posta mpya.
  13. Caren

    JamiiForums Tanzania Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    Ila najua mwaka 1997 ndio ulikuwa mwaka wa mafanikio kuliko mwaka mwingine wowote maana najua ukiacha Kongosho vijana wa mwaka huo zaidi ya 30 walienda Ilboru na wengine 20 walienda Mzumbe na wako very succesful kwenye maisha. I am proud to be married to one of the 1997 Classess.
  14. Caren

    JamiiForums Tanzania Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    Ah miye nilikuwa jangwani lakini naukumbuka sana wimbo wa shule ya Azania na namna Bob Leo (now an advocate) alivyokuwa anauimba: Azania, Azania, Azania our school. We look at you with pride. You are known far and wide and you are always our guide we will never forget you. .....Niendelee?
  15. Caren

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya Katiba yanaundwa kwa mujibu wa sheria gani?

    Lakini pia ni lazima watu watambue kuwa demokrasia pia ina gharama zake na hapa ndio zinapojionyesha wazi. Katika demokrasia kuna mtazamo wa mwenye kura nyingi ndio apewe regardless amezipataje. Kuhoji amezipataje ni lazima uende kwenye mfumo tofauti wa rufaa lakini hakumuondolei mtu uhalali wa...
Back
Top Bottom