Recent content by Captain Kibonge

  1. Captain Kibonge

    UVCCM wanahangaika kuchanganya maji na mafuta, Haiwezekani!

    "Wakati ukuta" ni vizuri tuweke akiba ya maneno ili tuweze kuepuka aibu ndogo ndogo zinazoweza tukuta hapo baadae. Kwa wale wanaomsifia mama sio mbaya wakafanya hivyo lakini nadhani ni mapema sana kufanya hivyo. Mimi binafsi nahisi kwa kipindi hiki ingefaa tukajikita kwenye kumuombea zaidi...
  2. Captain Kibonge

    Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

    Mimi japo nimeoa nimeshashindwa kuacha kuwa na chepuka na wanawake vipotabo.
  3. Captain Kibonge

    Ukimruhusu mpenzi wako asafiri safari za masaa 24, umeumia!

    Wa ache wafu wazike wafu wao, mbona hata kwenye mwendokasi watu wanapigwa sound na mizigo wanatoa. Kikubwa ni kuaminiana.
  4. Captain Kibonge

    Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    Huo ndo uoga wa maskini.... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Captain Kibonge

    Kwanini ndoa nyingi za vijana huvunjika baada ya muda mfupi?

    Vijana wengi siku hizi wanaoa kwasababu ya mihemko ya kimapenzi wanakuwa hawajajipanga na changamoto zilizopo ndani ya ndoa, wengi huishia kutalikiana pale mihemko inapoisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Captain Kibonge

    Nimekutana na malaika

    Point kubwa niliyo ona kwenye huu uzi wako ni kwamba huyo mwanamke wako hakuombi hela. NB: Zingatia kisa cha Delila na Samson.
  7. Captain Kibonge

    Maelezo muhimu kuhusu majini!

    Mkuu Rakims vipi kuhusu vile vioo tunavyoweka kwenye kuta za nyumba zetu, vyewewe hawiwez kuwa geti la hao viumbe?
  8. Captain Kibonge

    Boys to Men: Let me be the last person to say this "Mchumba hasomeshwi"

    Dah hii imenitokea jana usiku kuna mchuchu alinipiga kamba kwamba kitu bado hakijawahi kuingiliwa. Jana nilivyoingia nikakuta kulisha safishwa hamna hata alama inayoonesha kuwa hapajawahi ingiliwa, nilivyomuuliza kulikoni mbona ulivyonambia ni tofauti na nilivyoshuhudia akanambia et alishawah...
  9. Captain Kibonge

    Somo kwa wanaume: Jinsi ya kumkomoa mdada anayeombaomba pesa kabla hajakupa mzigo

    Ngoja nione upande wa pili wanakuja janja gani maana jiwe la manati limempata mlengwa.
  10. Captain Kibonge

    Hatua za kufungua shampein(champagne)

    Asante kwa kutupa elimu adimu sisi wasukuma.
  11. Captain Kibonge

    Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

    Kama nakuona unavyokweaga mnazi kwa mkono mmoja. Anyway pole sana mkuu hayo yote ni mapito tu.
  12. Captain Kibonge

    Vodacom Tanzania, mmeamua kunyonya watu baada ya kushindwa kufanya biashara ?

    Toka mwaka 2015 sijawahi weka vocha kwenye line ya vodacom, naitumia kwa huduma za M-pesa tu. Jamaa wanyonyaji na wanatuchuna hela zetu kama vile hawana ndugu huku uraiani.
Back
Top Bottom