Daudi1,
You are a good story teller. Katika episode-6 wakati baba Riziki anatafakari kwanini Paulina alimpa majibu mabaya, -- yeye mwenyewe baba Riziki alikumbuka kwamba alitumia kinga wakati wa kufanya mapenzi, kwa hiyo akaondoa wasiwasi wa ukimwi!! Sasa katika episode zilizofuata, baba...