Recent content by Captain A

  1. C

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kiwanja bado kipo?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Dualis inauzwa hii ni offer ya kufunga mwaka

    Chukua 10
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu haswa wa kunitengenezea UA zuri la Gypsum sebleni kwangu malipo laki 3

    Sina Design maalum utanishauli nikiridhika sawa, bei hiyo nimetoa offer, kama utanishauli vizuri nikaridhika na mchoro tunaweza kukubaliana.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu haswa wa kunitengenezea UA zuri la Gypsum sebleni kwangu malipo laki 3

    Kichwa cha habari kinajieleza, namtaka mtaalamu ambae atanitengenezea UA zuri la kisasa sebleni kwangu kwa malipo tajwa hapo juu, Angalizo nahitaji expert haswa sio mtu wa kujifunza.Eneo Kibaha
  5. C

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Wafanyabiashara kuhusu kitengo cha Biashara Manispaa ya Ilala Waziri Mkuu hujayafanyia kazi

    Nisaidie namba yako brother Pm tutatue changamoto yako
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kozi ya science and laboratory technology

    Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Orodha ya full funded scholarship zilizofunguliwa mpaka sasa

    Ni Pm namba yako tuongee
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye kulifahamu Ua hili

    Mwenye kulifahamu hilo Ua jamani anisaidie wapi naweza kulipata
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Pete ya Zamaradi au Emeralds

    Wadau naombeni msaada kujua wapi naweza kupata duka lenye Pete ya madini ya emeralds au zamaradi
  10. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa Accounts au Book-keeping na Hesabu

    Ni PM namba yako tuzungumze, nipo serious sana
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa Accounts au Book-keeping na Hesabu

    Natafuta Mtaalam wa masomo hayo juu aliyopo Dar aweze kunipiga brush kidogo, nasoma post graduate Diploma.
  12. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani za kisasa zinauzwa Tanzania

    Bei gani ramani ya vyumba vitatu?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mdada wa kazi za ndani

    Anahitajika bado mkuu
Back
Top Bottom