Anahitajika mdada wa kazi za ndani

Anahitajika mdada wa kazi za ndani

Captain A

Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
67
Reaction score
164
Kama Mada hapo juu inavyojieleza, anahitajika mdada wa kazi za ndani, Mahali ni kibaha, nyumba ina mtoto mmoja tu wa miaka Sita.

Kwa yeyote mwenye connection tusaidiane.
 
Maisha yanaenda kasi sana....
Kuna wakati misukosuko ya dunia huwakumba watu kiasi cha kutokuona vya muhimu.

Miaka yetu wazazi wakienda shamba watoto tulilelewa na bibi nyumbani, mtu mwenye uchungu na mtoto.

Siku hizi watoto na nyumba zinalelewa na watu baki wasio na uchungu wa uangalizi wa mali/nyumba wala mtoto.

Kila la kheri mtoa mada upate muangalizi mwema hadi hapo mtapoweza ishi wenyewe bila muangalizi.
 
Kama Mada hapo juu inavyojieleza, anahitajika mdada wa kazi za ndani, Mahali ni kibaha, nyumba ina mtoto mmoja tu wa miaka Sita.

Kwa yeyote mwenye connection tusaidiane.
Mkuu iyo nafasi bado ipo?
 
Kama Mada hapo juu inavyojieleza, anahitajika mdada wa kazi za ndani, Mahali ni kibaha, nyumba ina mtoto mmoja tu wa miaka Sita.

Kwa yeyote mwenye connection tusaidiane.

Unamlipa sh ngapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom