Recent content by Capo_di_Tutti_Capi

  1. Capo_di_Tutti_Capi

    Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

    Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
  2. Capo_di_Tutti_Capi

    Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  3. Capo_di_Tutti_Capi

    PreGE2025 LGE2024 Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Tundu Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura

    N Ni uongo na chuki binafsi, jamaa kajiandikisha muda sasa wewe sijui taarifa unatoa wapi?
  4. Capo_di_Tutti_Capi

    Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Gaza ni gereza la wazi ndugu yangu kila kitu anacontrol Israeli
  5. Capo_di_Tutti_Capi

    ATCL yaagiza ndege nyingine mpya

    Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesema ujio wa ndege ya mizigo ifikapo Aprili utaiwezesha kubeba mizigo hadi tani 3,000 kwa mwaka na kuondoa adha ya wafanyabiashara waliokuwa wakipeleka mizigo yao nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na wadau...
  6. Capo_di_Tutti_Capi

    Dimba la Benjamin Mkapa kufungwa

    Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeshauri kutotumika Dimba la Benjamin Mkapa ili kufanyiwa marekebisho kwa kile wanachodai kuwa eneo la kuchezea (pitch) limeharibika. Baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakochezwa leo kati ya Yanga SC na KMC FC, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
  7. Capo_di_Tutti_Capi

    Mbinu mpya za wahalifu

    Picha zinazoonyesha viatu vilivyoongezwa kwato kwenye soli ili mtu anapotembea viache nyayo za mnyama ardhini zimesambazwa pia sana mtandaoni. Miongoni mwa waliosambaza ni gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko aliyeandika kwamba viatu kama hivyo hutumiwa na wahalifu kaskazini mwa...
  8. Capo_di_Tutti_Capi

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Weka like [emoji3596] Ni like post zako
  9. Capo_di_Tutti_Capi

    Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2

    Kitaifa Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2 Jumanne, Februari 21, 2023 Wadau wa suala la uraia pacha wakitoka mahakamani, kusikiliza kesi ya uraia pacha iliyofunguliwa na Watanzania Sita wanaoshi nje ya chini, iliyofunguliwa Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam. By James Magai...
  10. Capo_di_Tutti_Capi

    Mwanafunzi ajeruhiwa na Walimu akigomea udanganyifu kwenye mtihani

    Mkuu hapo ni pagumu, kwanza msimamizi wa uchaguzi mwenyewe ccm, IGP kateuliwa na Raisi ccm, Tume ya uchaguzi imeteuliwa na ccm, list inaendelea... Ndio maana watu wanataka Katiba mpya la sivyo ccm itakuwa madarakani milele
  11. Capo_di_Tutti_Capi

    Mwanafunzi ajeruhiwa na Walimu akigomea udanganyifu kwenye mtihani

    Shule ambazo wamiliki wake hawajielewi, wanashindwa kutumia pesa kulipa mishahara mizuri ili kuvutia walimu wenye uzoefu na wazuri lakini wanahonga kuiba mitihani, Hawa ndio wanasababisha nchi inakuwa na wataalamu wa ovyo
  12. Capo_di_Tutti_Capi

    Mwanafunzi ajeruhiwa na Walimu akigomea udanganyifu kwenye mtihani

    Mwanza. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mmoja wa wanafunzi waliogoma kufanya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 katika Sekondari ya Thaqaafa iliyoko jijini Mwanza alijeruhuwa vibaya kutokana na adhabu aliyopewa na uongozi wa shule hiyo...
  13. Capo_di_Tutti_Capi

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Episode ya saba sijaiona
  14. Capo_di_Tutti_Capi

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Usiku mwema Wana JF, weekend imeisha hivyo kesho tunaingia kwenye majukumu. Tuonane kesho asubuhi. Alamsiki.
  15. Capo_di_Tutti_Capi

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    True pia mdomo wake ni mrefu, kama anatabasamu hivi. They say he gives a "kiss of death"
Back
Top Bottom