Recent content by Capo di tutti Capi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Toba!! NEC - National Electorate Commission bado haijapuliza kipenga, hawahusiki. NEC - National Executive Committee ya CCM, pia ni kikao cha kupiga kura tu, ila CC - Central Committee ya CCM nina imani itachukua hatua, hasa kwa fedha zinazo mwagwa na muhusika kupiti marafiki
  2. C

    JamiiForums Tanzania I am in love with my brother

    kwa kikwetu....
  3. C

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    ..... itakuwa kashfa ya kanisa pale litakapokaa kimya bila kuchukua hatua za kuridhisha.....
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

    Mbona swali rahisi kaka? anza kwao, lini wakenya wao kwa wao wakapendana? why mnaumiza vichwa wakati mjaluo na kikuyu hawapendani,? hawajaliani? mkisiii na mluya tofauti, mmeru na mkamba kila mtu lwake? tuwashauri kwa upendo tu waanze nyumbani - charity begins at home bwana!!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Warundi 152,572 wawa raia wa Tanzania: kila ikifika uchaguzi ni lazima tuwape wageni uraia?

    mkuu tuna mnyamulenge magogoni? nani huyo?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Warundi 152,572 wawa raia wa Tanzania: kila ikifika uchaguzi ni lazima tuwape wageni uraia?

    habari zako ni za uhakika kwa kiasi gani kaka? mbona hata figure za waliopewa uraia umekosea? serikali inasema 162,156 kuana mkuu wa makazi kaongelea makazi yote (sijui yeye ni nani wizarani -anasema wapo 152,572) na wew unakuja na 180,000, huoni unatuchanganya?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi ni nini?

    Nani kakwambia mtoa mada ni mkristo? mawazo mgando bwana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nitaficha wapi uso wangu? Rais Kikwete ameniumbua

    Siamini kuwa alisema hivyo, hataaa haiingii akilini kwa Rais tena Prof. APONGEZE WATU WALIOTULETEA ADHABU YA KIFO
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Kijana rejea: Are leaders born or made? rejea wanafalsafa walisemaje?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    mkuu ni hivi, whatsapp does not function with line yangu ya voda while works well with other networks, may be tu pres. yangu haikuwa njema. Sore!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nakereka nikilisikia hili tangazo

    mi jismatphonishe linaniudhi sana. Wanachangia kuharibu kiswahili, kungekuwa na censor board afadhali
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ni vigezo gani mnavovitumia kuweka mnara wa mawasiliano? hasa vijijini?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Napata shida/nashindwa kutumia huduma zenu za whatsapp, nifanyeje?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mume wangu kumbe ugenini unayaweza hivi?

    na pia ilianza ghafla
Back
Top Bottom