Madame X hoja nzuri lakini vile naomba kusema kuwa sio kila successful black man anafanya hivyo yaani kukimbilia white women. Mfano mzuri ni Denzel Washington, Will Smith, Jay Z, na kadhalika. Nafikiri inatokea tu kuwa preference ya mtu. Kwa mfano, kuna mabinti watatu wa kizungu ambao nawajua...