Recent content by Capital Hill

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kama ni wewe utafanyaje?

    ooooopsssssssssssssssssssssss! uswazi nooma men. To Rouette.picha yako ya ID IKO POA.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Am very beautiful but cant keep a man for long

    toa email faster nikucheck
  3. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Dr. Slaa kwenye kikao na CEO Round Table - Kempinski Hotel

    ppp meeting
  4. C

    JamiiForums Tanzania Haya makavu live (Part 2)

    Taarabu za Times hazitoshi tuu mpaka uje huku jf
  5. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakimbiwa na wasomi, Katibu CHASO ahamia CCM

    huyu ni kama watu wengine wa kawaida,ila msamaha unaruhusiwa,ni mjinga bado siyo msomi,imagine lile fuko la akina mama wa Loliondo unaweza tabiri uendako ni salama au la,tamaa yake itamponza,ngoja akapate marafiki akina mwampamba na wenginewe. Ila kumbuka hakuna short cut katika life ila short...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Awapongeza Wamasai

    Kumbukeni haya maneno yametungwa na wapambe,nadhani sikumbuki ile sura yake ilifananaje jana baada ya kuwaona wale wamasai pale na fuko la kadi,alikasirika ile mbaya,akatamani apate mtu wa kumsingizia.........................Mheshimiwa spika hawa chadema ni................... alikosa hata maji...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Zemarcoplo is hear once again.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    JF Senior Expert Member Array Join Date : 23rd August 2012 Posts : 546 Rep Power : 477 Likes Received214 Likes Given301 Re: Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin? By Mark Francis Mfano mdogo tu amuulize huyo Nape anaemtuma, kilimpata nini alipohoji mkataba wa uuzaji...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Wewe Lukosi umepigwa ganzi na Dr. Perlin hapa majuzi huchoki bado tuu,by the way,watu hawajakuzuia kurudi magambani kama ulivyo hitaji, lakini,Mbona CCM na Mwakyembe hutukumbushi,CCM nA KORIMBA HUTUKUMBUSHI,KIGOMA Marima hutukumbushi,Pembe za Kinana hutaki kugusia,Manunuzi ya Mashangingi v8...
  10. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

    Mleta maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaada niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mzalendoooooooooooooooooo! Ritz,who do you think you are? Katoe ushauri ili Gamba kuu wa ccm aiache nchi kama atakubali. white wine for you.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Saumu aomba ulinzi wa CCM!

    kufa Chadema haifi,utakufa wewe.ogopa sana mipango ya mjinga,hua haina tathimini na matokeo hupimwa kwa sekunde huku makosa yakiwa mia.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mtuambie udhaifu wa chama chetu CCM ili tujirekebishe

    We fear nothing,but we look like slave to our country,we need to see changes.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mtuambie udhaifu wa chama chetu CCM ili tujirekebishe

    umeamkia London au uko wapi,kwa sababu nadhani umepewa mshiko mkubwa,CCM Haiwezi kusikiliza walala hoi at any Circumstances,but tunahitaji mkae bench ili mjifunze kutokana na makosa ather wise hamna jipya,or else,waulizeni Zambia na Malawi,next time msisahau mnaweza kuja itwa ninyi ni...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ni jukumu letu kuikataa CCM kama ulivyo wajibu wetu kutafuta mbadala wake!

    Ukiwa umeamua kumsomesha mwanao Tanzania hua unaangalia shule zilizopo na kumpeleka mtoto huko,kwa kutumia mazingira hayahaya naomba tujifunze kuamua,CCM HAIWEZI KUBADILI MAISHA YA WATANZANIA,Tunahitaji mbadala,tusiangalie ya mbali saana,ila tutumie mfano huo wa shule ya mwanao,ukiwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ni jukumu letu kuikataa CCM kama ulivyo wajibu wetu kutafuta mbadala wake!

    Above all this,Napenda kuwakumbusha wimbo ambao hata Mwanakijiji hataki kuuimba,Tunataka tume huru ya uchaguzi,na pia tunataka marekebisho ya daftari la kudumu.Hatutakua na maana if and only if tutaendelea na wapiga kura wa miaka 47 iliyopita,we need new face,new idea,new phylosophy,CCM will...
Back
Top Bottom