Capital Hill
Member
- Mar 16, 2013
- 46
- 8
ooooopsssssssssssssssssssssss! uswazi nooma men.
To Rouette.picha yako ya ID IKO POA.
To Rouette.picha yako ya ID IKO POA.
rafiki uswahilini kunatofautiana...... kama ambavyo huko uzunguni kunavyotofautiana, lol!Hivi mnananmbia as if mi sijawahi kukaa uswahilini? I know mtu anaweza kukaa na dignity yake hata katika hali ya umasikini. Hao wa kuazima wanayao tu!
mie siulozi wala nini..hapo naingia nao chumbani kwa msela na tunaanza kumgegeda huyo mke wangu mie nala tigo
Utajuaje?very simple,,,, nitakagua machine kama jamaa ameichakachua itajulikana tu
Story za kufikirika hizi. Hivi huyu mdada abebe ndoo kutoka kote alikotoka kwenda kumrudishia mwanaume halafu asingalie ndani kuna nini? Na huyo mwanaume alipokeaje bila ya kuangalia ndani? Kama hili ni kweli, basi ni dhahiri kwamba huyo dada alikuwa anamtega jamaa. So talaka ni haki yake.Kuna mwanamke mmoja alimuomba mpangaji mwenzake wa kiume ndoo ya kuogea,alipomaliza kuoga akamrudishia jamaa ndoo yake. Baadae akakumbuka kama amesahau chupi yake kwenye ile ndoo, akamwambia yule jamaa,nae jamaa akamwambia ingie ndani aichukue.
Wakati anatoka ghafla mume wake akawa anarudi nakumkuta mkewe ameshika chupi mkononi akitoka kwa msela. Je kama wewe ni mume wa yule demu au mke wa yule msela utafanyaje?
Lakini ndoo nilisahamnunulia ni kwanini anazipasua na kuzitoboa?Labda sababu chupi itakua mbichi mume anaweza kuelewa
Unajiita mwanaume unashindwa hata kununua ndoo ya kuogea? Ulimwoa binti wa watu ili iweje?
jaman wanawake tuangalie wanaume wa kuoa