Saumu aomba ulinzi wa CCM!

Saumu aomba ulinzi wa CCM!

HAKIKA WACHANGIAJI HAPAJF MNATUBOA WAPENDA MIJADALA YA KITAIFA NA SIO KICHAMA.
INAKUWAJE KILA THREAD MNASHAMBULIA CCM TU? HIVI JF IMEKUWA SIO YA KIJAMII TENA? NI YA MPAMBANO KATI YA CHADEMA NA CCM MEMBERS TENA WALE WASIO WAADILIFU? MN hT nMN y UCHngiJI WAO UNATIA SHAKA KAMA KWELI NI WANAZUONI!

TOO MUCH HEBU ACHENI KUPOTEZA MAANA HALISI YA JF. KILA THREAD KWA ASILIMIA ZAIDI YA 90 INALENGA KUTUKANA CCM MBONA HATUONI HIVYO KWA OPPOSIT?

KWANJIA HII HATA IMANI YA KWENDA UKULU MNAKOKUSEMEA INAPOTEA MNAWATUMIA WATU WA VIJIWENI SANA NA NDIO WANAOWAHARIBIA CHADEMA WANADHANI SIASA NI MATUSI NA KUBEZANA KATIKA KILA JAMBO.

TOO MUCH IMEBIDI NIFUNGUKE KULALAMIKIA HALI HII.:shut-mouth:

sijakuelewa kabisa........nini umeandika hapa inaonekana we ni ccm....idiot....
 
We Kakuku na Mwenzio Maghamba tunataka juhudi za maendeleo kama za huyu wa CUF sio kila uchwao mnahamasisha....... na kama ulikuwa hujui Idiot maana yake hata wewe labda kama umezaliwa juzijuzi wakati hivi vyama vipya vianaanza.

100_2187.JPG
 
Chadema mbona hawaeleweki si wanasema ile video ni feki.

Ritz vuta ni kuvute amekuja na issue ya saumu kuomba ulinzi sasa haya ya video yanakujaje? kama feki au si feki kitaeleweka tu baadae ila kwa sasa tucheki hii current issue.
 
Mbio za wasaliti huishia Lumumba,hao hawadumu kwenye ramani ya siasa!
 
Watanzania yetu macho wito wangu kwa rais Kikwete hivi kweli umeacha chama alichoasisi Baba wa Taifa sorry mzee nyerere kikimalizwa na akina Mwigulu Nchema shauri utakabidhi nchi kwa CHADEMA.
Mkuu hatupaswi kukaa kando na kukodoa mimacho tu....Tuende hatua kadhaa mbele kwa lengo la kulinusuru Taifa letu.Muda wa kukaa pembeni na kuwategemea viongozi wa vyama kuendesha mapambano ya kutafuta ukombozi wa taifa letu, unapaswa kukoma sasa, kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na taifa hili, ambaye angependa awaachie watoto na wajukuu wake Taifa lenye neema na ustaarabu, taifa lenye kujali maslahi ya watu wake,lenye kusimamia vema rasilimali zilizopo kwa manuafaa ya wote anapaswa kusimama na kushiriki vema kwenye mapambano ya kudai uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni weusi CCM.Tunapaswa kujitoa kwa manufaa ya vizazi vijavyo......WAKATI WA UKOMBOZI NI SASA SHIRIKI KIKAMILIFU!
 
kufa Chadema haifi,utakufa wewe.ogopa sana mipango ya mjinga,hua haina tathimini na matokeo hupimwa kwa sekunde huku makosa yakiwa mia.
 
Hatimaye kada wa CCM aliyetimkia huko baada ya kuwa CHADEMA Makao Makuu, Saumu Malungu ameomba ulinzi CCM. Hii inafuatia kutajwa kwake na Mkurugenzi wa Sheria wa CHADEMA,Wakili Msomi Tundu Lissu kuwa ndiye anayeratibu mipango ya kupika ushahidi na kuandaa ushahidi dhidi ya Winfred Lwakatare.

Ni leo tu ambapo Saumu aliripotiwa na gazeti la Tanzania Daima kuwa alinaswa akiwasiliana na kiongozi mwandamizi wa CCM ambaye ni mratibu wa mpango wa Lwakatare kichama. Saumu anatumiwa kwakuwa alikuwa Idara ya Usalama ya CHADEMA na kwakuwa anajua kila linaloendelea CHADEMA Makao Makuu.

Mnamo majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni hii, Saumu alifika hapa Ofisi Ndogo za CCM Lumumba ili kuwasilisha ombi lake la kuomba ulinzi na haraka akakabidhiwa kwetu kama Kitengo cha Ulinzi cha CCM. ‘Niko hatarini. Inadaiwa kuwa nimeshtukiwa. Kuna ‘wenzangu’ wamenisaliti ndani ya CHADEMA. Wamevujisha siri za mipango yetu’ alisema Saumu akionekana kuwa na shaka kuu.

‘Nilindwe. Mwigulu Nchemba kwasasa hanipi msaada wa kutosha. Nilianzia UVCCM pale ambapo wamenielekeza nije hapa. Tafadhali nilindwe ilinimalizie kazi yangu’ aliongeza Saumu Mulungu.

Baadhi ya vigogo hapa Lumumba wameonesha hofu kuu katika kuharibiu taswira ya chama juu ya suala hili. Wameapa kuwatenga wote wanaohusika na mpango huu haramu,kama kweli upo. Kuna sintofahamu kubwa hapa Lumumba.

VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.

Huyo anatafuta DUME hana lolote huyo. Yeye na aende kwa Nchemba. Nadhani atakuwa amefika mahali anapo pataka. Vinginevyo analazimisha ujiko ambao hata mashiko hana ya kuupata.

Si ndiye alisema eti alitakwa ki mapenzi alipo kuwa CHADEMA? Sasa huko ndiyo amewakuta waasisi ambao hata kule Dodoma taarifa zina sema wameamua kuagiza Rwanda kwa sababu supply ya TZ haitoshi.
 
Adhaniaye amesimama aangalie asije anguka. Huyu saumu alidhani amesimama salama ccm na kuanza kula pesa zao sasa inaelekea jamaa wanataka pesa yao baada ya kazi kushindikana.Ajilinde maana pesa za magamba zina damu na damu yake ni halali yao kwa kuwa kala pesa yao.

asiisingie CHADEMA, Aangalie njia alizopita katika maisha yake baada ya kutoka CHADEMA- Kula pesa ya mtu, tena pesa isiyohalali ni dhambi hata kwa mungu.Hili Litamtesa Milele.
 
HAKIKA WACHANGIAJI HAPAJF MNATUBOA WAPENDA MIJADALA YA KITAIFA NA SIO KICHAMA.
INAKUWAJE KILA THREAD MNASHAMBULIA CCM TU? HIVI JF IMEKUWA SIO YA KIJAMII TENA? NI YA MPAMBANO KATI YA CHADEMA NA CCM MEMBERS TENA WALE WASIO WAADILIFU? MN hT nMN y UCHngiJI WAO UNATIA SHAKA KAMA KWELI NI WANAZUONI!

TOO MUCH HEBU ACHENI KUPOTEZA MAANA HALISI YA JF. KILA THREAD KWA ASILIMIA ZAIDI YA 90 INALENGA KUTUKANA CCM MBONA HATUONI HIVYO KWA OPPOSIT?

KWANJIA HII HATA IMANI YA KWENDA UKULU MNAKOKUSEMEA INAPOTEA MNAWATUMIA WATU WA VIJIWENI SANA NA NDIO WANAOWAHARIBIA CHADEMA WANADHANI SIASA NI MATUSI NA KUBEZANA KATIKA KILA JAMBO.

TOO MUCH IMEBIDI NIFUNGUKE KULALAMIKIA HALI HII.:shut-mouth:

Naona umeingizana jamvini juzi. Login ukasome kanuni za JF. Sio unajiropokea tu. Hilo ndio tatizo la kuingia mikataba bila kuisoma. Unaingia JF na huku hujui masharti yake??

Kajipange upya mkuu!!
 
Huyo anatafuta DUME hana lolote huyo. Yeye na aende kwa Nchemba. Nadhani atakuwa amefika mahali anapo pataka. Vinginevyo analazimisha ujiko ambao hata mashiko hana ya kuupata.

Si ndiye alisema eti alitakwa ki mapenzi alipo kuwa CHADEMA? Sasa huko ndiyo amewakuta waasisi ambao hata kule Dodoma taarifa zina sema wameamua kuagiza Rwanda kwa sababu supply ya TZ haitoshi.
kaka kanundu afadhali umenikumbusha nilikuwa simkumbuki huyu Saumu sasa kwa maelezo yako nimemkumbuka.
 
HAKIKA WACHANGIAJI HAPAJF MNATUBOA WAPENDA MIJADALA YA KITAIFA NA SIO KICHAMA.
INAKUWAJE KILA THREAD MNASHAMBULIA CCM TU? HIVI JF IMEKUWA SIO YA KIJAMII TENA? NI YA MPAMBANO KATI YA CHADEMA NA CCM MEMBERS TENA WALE WASIO WAADILIFU? MN hT nMN y UCHngiJI WAO UNATIA SHAKA KAMA KWELI NI WANAZUONI!

TOO MUCH HEBU ACHENI KUPOTEZA MAANA HALISI YA JF. KILA THREAD KWA ASILIMIA ZAIDI YA 90 INALENGA KUTUKANA CCM MBONA HATUONI HIVYO KWA OPPOSIT?

KWANJIA HII HATA IMANI YA KWENDA UKULU MNAKOKUSEMEA INAPOTEA MNAWATUMIA WATU WA VIJIWENI SANA NA NDIO WANAOWAHARIBIA CHADEMA WANADHANI SIASA NI MATUSI NA KUBEZANA KATIKA KILA JAMBO.

TOO MUCH IMEBIDI NIFUNGUKE KULALAMIKIA HALI HII.:shut-mouth:

Wewe ndie mpumbavu sababu wengi humu wanaponda upinzani hawaipendi Chadema,wanakashifu mageuzi,M4Cwengi wanaotoa kashfa humu ni maccm ambao wanajidai vipofu kwamba hawaiui ubadhirifu unaofanywa na chama chao,mbona uko wazi? Mumeona Loliondo wamezinduka baada ya kuona raia wa kigeni ni bora kuliko raia wa Tanzania
MTANZANIA ANANYANYASIKA KWENYE NCHI YAKE MWENYEWE HALAFU KUNA WAPUMBAVU WANAONGEA UJINGA ETI CHAMA Sababu tu kuna watu wamekula fedha,
Twiga na wanyama wengine wanaibiwa wapumbavu wamekalia kuongelea CHADEMA mnakosa kuongelea mambo ya maendeleo,nauli zimepanda watu hawatasafiri kulingana na hali ngumu ya uchumi wapumbavu wanagombana na CHADEMA kwani wao ndio wanaopandisha na kusababisha hali ngumu kwa Mtanzania
HIVI NYIE WATANZANIA WAPUMBAVU NI NANI ALIYEWAROGA? Badala ya kupigania haki zenu mnapigana na mtu ambaye hana muda na wewe,watu wanatokwa povu kwa ujinga wakati maisha yao ni ya kubahatisha na elimu yao ya kuunga huko vyuoni,hawajui watakula nini hadi watunge majungu ndipo familia zao zipate chakula si ujinga huu? ALIYEWAROGA KAFA MABOYA NYIE
 
Huu uzi sina hakika kama una chembe ya ukweli. Ni vigumu kuamini kuwa Saumu kaenda kuomba msaada CCM - Lumumba mbele yako mtoa mada labda useme wewe ndio uliyeombwa kutoa huo msaada
 
Ni jambo la aibu kwa chama tawala kufanya siasa za kimafia.Hivi mimi najiuliza mwenyekiti wa hiki chama yupo au yupo safarini? Kwasababu sasa hivi ni kama chama wamekabidhiwa wapuuzi wafanye upuuzi wote wanaoutaka. Ukweli mbinu zinazotumiwa sasa na CCM kukabiliana na wapinzani hasa CHADEMA ni za hatari na aibu. Jambo la ajabu utashangaa kesho Mwenyekiti wao anaanza kulalamika kuhusiana na ugaidi wakati wanaoratibu ugaidi wa kisiasa wako ndani ya chama chake! Ni kama sasa hivi analalamika udini wakati yeye mwenyewe ameutumia kisiasa na mpaka sasa wahubiri wakuu wa udini wapo ndani ya chama chake. Labda akirudi kutoka safari yake ndefu anaweza kuchukua hatua!
 
Hivi nguvu ya umma bado iPo? Au ile mitumba ya m4 c ndiyo nguvu ya umma !
 
Hivi nguvu ya umma bado iPo? Au ile mitumba ya m4 c ndiyo nguvu ya umma !

Vipi mkuu,umeshapona ule ugonjwa wako uliokutesa miaka mingi?
Tubu dhambi zako kwa Mungu,kisha jiunge Chadema uwakomboe ndg zako maskini kutoka mikononi mwa CCM.
Fanya kwa imani na Mungu atakubariki.
 
chadema ni chama cha ukweli na inteligensia yake inaishinda ccm na serikali hao kina swaum wanapoteza muda.
 
Back
Top Bottom