Recent content by Canula

  1. C

    Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Yaan ww unachekesha cc wenzio wanawake wetu wametolewa bikra darasa la tano mpka sasa ameshakutana zaid ya hamsin anaowakumbuka na bado Niko nae kikubwa ujue kwa sasa yuko na ww tu? Hilo ndo jambo muhimu
  2. C

    Mke wangu ananipiga vijembe sana WhatsApp status

    Acha kutuabisha wanaume wenzio hyo ishu ni ndogo sana unatakiwa utumie uanaume wako kuimaliza wasap status kitu gan kama hakuelewi chuku cm biga ukutani mtafutie kidgo dgo atakachoweza kupiga na kutuma sms tu kesi imeisha!
  3. C

    Anayehitaji nurse mwenye addo kwa ajili ya kuuza pharmacy (kwa Dar)

    Mkuu namuitaji sana duka liko kongowe mbagala nko serious
  4. C

    Mkesha wa Mwaka mpya: Maelfu wajitokeza kumuombea Rais na Tanzania kwa ujumla

    Jaman uwanja wa taifa hilo tamasha mbona linafanyika kila mwaka mkuu zaid ya miaka kumi sasa
  5. C

    Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

    Chunguza vzr wanaume wa dar hawachelewi kutumia vumbi ukajua anamapafu ya mbwa kumbe ya mende
  6. C

    Hivi ndivyo TBC inavyomdanganya Rais Magufuli

    Mm nakulaumu ww mtoa mada kwenye hyo Chanel ya propaganda za Lumumba umefuata nn mm najianda kwenda kwa wamilik wa kigamuz changu kuomba kama inawezekana wanifutie hyo Chanel asije mwanangu akachezea remot akajikuta anaweka tbc
  7. C

    Mpenzi wangu amenisaliti na mzazi mwenzake! Nina wasiwasi ataendelea kunisaliti naye

    Mkuu nilikutaka na ishu kama yako bahat nzur ya kwang hakukuwa na mimba ilikuwa rahis tu kumuacha japo nilikuwa nampenda bola akusalit na mtu mwingne ukiona anakusalit na x wake ujue hauwez kuacha!
  8. C

    Nimemtongoza tangu Mwezi wa 4 mwaka huu, hadi leo hola

    Umri wake tafafhal cc wazoefu wa mambo umri utatusaidia jinsi ya kutongoza kuna aina ya utongozaji kutokana na umri sehemu mnayokutana usije ukajikuta unatumia mbinu za under 20 kutongoza above 40
  9. C

    Nimeshindwa kumsahau

    Sasa unashindwa kumsahau wakat hata papuch haujala mkuu unamkumbuka kwa lipi
  10. C

    Wanaume tuweni makini!

    Mkuu mwaka mzima hata kugonga haujagonga demu co bikra ulitegemea mwaka wote huo yeye anatumia maji ya moto au kama umekosa ubunifu wa kumtafuna napata mashaka sana na ww cku hz ukikamata tafuna kwanza ukiona anakuzingua achana nae ukienda sawa ndo unatangaza ndoa
  11. C

    Mwenye uzoefu na wasichana mapacha, nisaidieni

    Asante mkuu kwa msisitizo
  12. C

    Mwenye uzoefu na wasichana mapacha, nisaidieni

    Sawa mkuu nmekuelewa vzr sana
  13. C

    Mwenye uzoefu na wasichana mapacha, nisaidieni

    Habari za usiku wakuu, Nimeona nilete story hii kwenu ili wazoefu wa mambo wanisaidie kunishauri miezi kadhaa iliyopita nilifahamiana na wadada wawili mapacha ambao wanafanya kazi kwenye taasisi moja ya fedha hapa mjini ambayo ipo karibu na ofisini kwetu, mara nyingi nilikuwa nikikutana nao...
  14. C

    Mbowe anatakiwa aelewe hii ni VITA, tukishindwa mapambano ya mwili, nyama na akili tuhamie kwenye mapambano ya roho.

    Kwel kabisa maana ccm tbc imekuwa kama Chanel ya Lumumba kila cku wako live wakipiga kampeni
Back
Top Bottom