Si ajabu jirani ana deni linalompasua kichwa akaamua kutumia njia hiyo ili ajipatie fedha.anajua akikopa atatakiwa kurejesha so akatumia njia hiyo.Na uwezekano wa kutengeneza kesi za hivyo upo haswa uswazi.Nliwahi kusikia et hata mwanaume anaweza mshawishi mkewe awakubalie wanaume wanaomtongoza...
Ni kweli wanawake wengi kwenye ndoa wanavumilia sana.Mtu akiwa anakuonyesha upendo na kukujali hata kama angekuwa inasimama dk moja ungeridhika.Ila mtu hakuonyeshi upendo wala kukujali unaona bora uishi maisha mengjne.mimi binafsi siwalaumu wanawake wanaochepuka maana na wao wanafuata...
Ukatili dhidi ya wanawake unaongezeka kwa kasi.Wanawake wanauawa wengine wanabakwa ila naona kama asasi za kiraia zimekaa kimya.wiki kama mbili zilizopita kuna mama mmoja alibakwa hadi kufa huku akiacha watoto wake wadogo.
Mwanamke anajitahidi kujing'amua kwenye mambo mengi likiwemo la...
Unaoa kabila au mtu?kila mtu ana tabia yake na mtazamo wake kuhusu maisha bila kujali kabila.Kuna wanawake wa makabila mengine ni wapambanaji pia na kuna wachaga wavivu pia so usi-generalize!
Sijui wanaume wengine mnakwama wapi.Kumpa mtu kitu huwa hakulazimishwi ila kumpa mtu kitu kunaonyesha appreciation. Mf.amekuja geto kwako kwa mara ya kwanza.unatakiwa ujiongeze hata kwa kununua zawadi.na zawadi huwa ni kitu chochote ila kama hujafanya hivyo anapokuaga mpe hata nauli ya kurudia...
Hayo mazingira huwa mnayatengeza wenyewe.Mara unamwita geto.Akija ndo hivyo akikuta geto halieleweki anaanza kufanya usafi na mengine kama kupika na kufua.Kama hutaki hayo kutaneni sehemu nyingine na sio kwako.Na nyie muache mara moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.