Recent content by candlelight96

  1. candlelight96

    Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

    Wanaume wanajali kwan hata ukiwa na mimba unatongozwa bado ndo maan wanabaka hadi wanyama wengine ndo hao wanawapumulia wanaume wenzao wenyewe shida yao ni tundu tu ilimrad lnajoto .. baba yao shetani
  2. candlelight96

    Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

    Wanaume msio na hela msahau kupendwa kwa dhati katik karne hii wanawake hawatak maneno mazur na nyimbo za njiwa peleka salamu
  3. candlelight96

    Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

    Ndo wazee wa baadae niskie naambiwa heshimu wazee wetu ...shame
  4. candlelight96

    Ndoa inaelekea kunishinda

    Read hii quotation..if u really want peace of mind make decisions..hata ukiachana nae utajifungua tu salama na maisha mapya utaanza wew na mwanao..usitazame watu watakusema vipi kwamba umeachika bali ishi maisha yako upendavyo wewe bila kujali society itaongea nini angali wao hawajui maumiv...
  5. candlelight96

    Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Jiulize kwa nini ndoa nying hazidumu ndo utajua watu wanakaa kwenye uchumba miakaaa wanazoeana kama kaka na dada hamna kipya
  6. candlelight96

    Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Hata mkioana mtaachana mshaonjana sana hata huko honeymoon hamna kipya mshapeana style zote hadi za popo kanyea mbingu, hamza kafia ubalozin mshachambuana vuz moja moja hata hamnogi ...
  7. candlelight96

    Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Zinaa imekuw bei rahis kuliko ndoa ..na kwa style hyo wanaume hawataoa ,shetan amekamilisha kazi yake na bado miaka inasonga vizaz vipya vinazaliwa itakuwa kufuru
  8. candlelight96

    Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

    2030 wanaume watakuwa wakutafuta na tochi..wakasalimie akhera
  9. candlelight96

    Mwanamke peke yake hawezi kumkuza mtoto wa kiume kuwa mwanaume

    Ndyo baba wa kikaz hichi sabab single mother n weng na wanazid kuongezeka msitegemee malezi bora
  10. candlelight96

    Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

    Wakikua utakuwa kifua mbele kusema wanangu angali kuwalea kwa mwezi tu huwezi ..lazy ass man they always complain for everything in their life
  11. candlelight96

    Mwanamke peke yake hawezi kumkuza mtoto wa kiume kuwa mwanaume

    Wapo walokuzwa na baba na mama still n wanaume wa ajabu..hata viongozi wa dini watoto wao huwa na tabia mbovu
  12. candlelight96

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hamna uzi siupend kuuona kama huu..yaan wanaume wanajisifia humu kutembea na wanawake tuuu zinaa imepewa kipaumbele..Akil zao zpo chini tuu .. crazy men
  13. candlelight96

    15 Questions to ask yourself before ending your Relationship/Breakup...

    I'm just there because i need his money to Achieve my goals bcoz i don't get support from any relatives of mine ..its not good doing this but better to sacrifice ...but soon enough i will left him to find his better half.... (ain't perfect)
  14. candlelight96

    Leo nina hasira ya kunyimwa Papuchi

    Kumbuka kupima ukimwi...
Back
Top Bottom