Recent content by Candlelight

  1. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Nimekutumia sms, angalia kibahasha utakiona
  2. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Kutuma ujumbe wa private dear.
  3. Candlelight

    Natafuta mume anayeishi na VVU

    NIMESHAPATA. Closed Thread.
  4. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Nakumbuka iyo siku nilikuwa na kaka yangu nikamtania "Kaka leo si unajua siku ya UKIMWI duniani, nenda kapime ' Akanijibu kwa msisitizo kabisa..." Nani mimi?! Weeh nitapima vyote ila sio iyo kitu yaan, yaan waniambie nakufa kesho mimi? Ahna siwezi tena nakushauri na wewe na ilo limwili lako...
  5. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Ni kweli, ila pia kuna wanaume ni wabishi hata kupima kipindi cha mwanamke akiwa mjamzito, ivo mwanamke anajikuta katika ilo peke yake. Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na doctor ofisini kwake, akaja nesi kama emergency kua kuna mama Ana mtoto wa miezi mitatu anamnyonyesha wamempima...
  6. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Huwa kuna utaratibu wa kucheck cd4 kila baada ya muda flani.... Hata mimi ndo nimetoka kupewa majibu yangu hapa.... Zinapanda tu, namshukuru Mungu kwakweli
  7. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Na hayo magonjwa yanatokea kwa wale wasiojijua mapema, wale wabishi kupima afya zao, afu unakuta ni +. Kinga inapungua Kiasi kwamba magonjwa yakija yanapiga tu.
  8. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Binafsi! Mwanzoni ilikuwa ngumu, ila baada ya kukubali na kuitengeneza amani nayo, aiseee sioni tofauti na sijawahi kuwaza eti nitakufa kesho?!... Hahaha hapana aisee labda nipitiwe na roli, au mengine ila HIV is not a problem to me
  9. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    data I don't have IG account that I disclosed my status, because this is TANZANIA. Watu wengi bado elimu yao juu ya ili ni ndogo, sasa ukitaka unyooshewe vidole everywhere bila sababu do that! I did here, na kwa very closest people of mine ambao hata wao bado wananibishia, mmoja hadi alilia...
  10. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Usiogope kufa dear... Kwasababu kiumbe chochote hai kilichozaliwa kikaanza kuishi ipo siku kitaacha kuishi, kwaiyo haijalishi ur negative, or HIV positive.... Kifo kwetu ni pale pale.... Just ishi happy life to the fullest, Coz we only live once darling
  11. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Thank You So Much For Sharing
  12. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Mh uyo itakua alikuwa na iyo issue zamani ila alikuwa hajui, na pengine kajua pindi cd4 zimeshashuka sana magonjwa kama hayo TB na mengine ndo yanashambulia sana, ila ukiwahi unadunda tu, ukajikubali hupati shida kabisa. Ila daah taking all of the ARV's at once mmh, zilivyokubwa vile...
  13. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Kwa wale ambao mpo Instagram, mkipata muda find this lady @cindy_ngonini and this page @goodstoriessa, yapo mengi ya kujifunza through there.....
  14. Candlelight

    Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Am good, everything is ok with me Haszu.... Being Positive haijanizuia chochote, am enjoying life to the fullest, just like everyone out there...! Na wala huwezi kujua unless nikwambie that nipo hivi nikupe na kadi usome, otherwise unakataa
Back
Top Bottom