Recent content by Canberra

  1. Canberra

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe Nigeria kila Kitu? Why Is It Nigeria. Wamewezaje?

    Umekuwa mpole
  2. Canberra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My confession: Hornet is Positive

    Vizuri
  3. Canberra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulianza kujihusisha na Habari za Mapenzi ukiwa na miaka mingapi ? Hakuna kudanganya

    Ok ila ni jukwaa la mapenz siyo kesi
  4. Canberra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulianza kujihusisha na Habari za Mapenzi ukiwa na miaka mingapi ? Hakuna kudanganya

    nimeisoma hii convo yako na joanah inaonesha mpo real.. kwa Nini msinge chat private au mmejisahau
  5. Canberra

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  6. Canberra

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mkuu kumbee nawe ndo wale wale nimekuona jukwaa la siasa unaonesha kuumizwa na ujio was Lissu
  7. Canberra

    JamiiForums Tanzania Ni comments za namna gani ambazo unazipa likes?

    6.Mchango wa mtu niliyemzoea humu ndani 7.Wa mrembo ninayemkubali
  8. Canberra

    JamiiForums Tanzania Jamani DEMISS nina rahaaaaaaaaa leoo!

    Demiss umepotea sana mkuu
  9. Canberra

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nimekuuliza wewe uliyoiona kama ningeiona nisingeuliza
  10. Canberra

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Jana nimekuuriza hiyo pic ni yakike au yakiume hujajibu
  11. Canberra

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Vp huyo ni punga au mwanamke
  12. Canberra

    JamiiForums Tanzania Video za Youtube kuplay kwa shida kwa Watumiaji wa Airtel

    Nimetumia samsung na sasa iphone kote ipo hivo hivo
  13. Canberra

    JamiiForums Tanzania Video za Youtube kuplay kwa shida kwa Watumiaji wa Airtel

    Hapana network ipo vizuri yani inachagua baadhi ya video maana ikiwa hivyo nikiplay video nyingine inaplay vizuri tena kwa kasi
  14. Canberra

    JamiiForums Tanzania Video za Youtube kuplay kwa shida kwa Watumiaji wa Airtel

    Kwa watumiaji wa airtel ambao huwa mnapita youtube kuangalia videos. Je, huwa mnapata hili tatizo la baadhi ya video ukiplay ikifika sekunde kama ya 5 hivi inastop?
Back
Top Bottom