Recent content by canal59

  1. canal59

    CHADEMA jimbo La Kawe wakwepa kodi

    Wamekodi chumba wanakitumia kama ofisi ya chama ,mpaka sasa wanadaiwa kodi ya pango ya mda mrefu tangu Mwaka Jana ..na imekuwa tabia endelevu kwa kukodi vyumba na kutolipa kodi ya pango
  2. canal59

    CHADEMA jimbo La Kawe wakwepa kodi

    Ofisi ya Chadema iliyoko Salasala katika jimbo la kawe wakwepa kulipa kodi ,hii imekuwa ni tabia ya viongozi wa Salasala kutafuna pesa zilizochangwa na wanajimbo kwa ajili ya kulipa kodi..nawashauri viongozi wa juu wa chama chetu kufuatilia jambo hill kwan linatia aibu kwa chama.
  3. canal59

    Agizo lingine la Serikali ya Magufuli lapuuzwa

    Kwani lazma asome fedha ..hili ni soko huria ..uwezi lipa we hama tu..tusimpe raisi mizigo icyokuwa na maana
  4. canal59

    Afande Linus G1614 maeneo ya Sayansi (Dar), ni mla rushwa mkubwa

    Aisee ila ni vzr ungekuja na Ka ushahidi kidogo kangetusaidia sana kuamini..mana vinginevyo itakuwa ngumu kuamini
  5. canal59

    Familia ya Alphonce Mawazo yaishi mafichoni

    Yan me nashangaa unyonge huu umetoka wapi..embu Chadema toeni go ahead hiv vijitu pori vya geita tuvipoteze ktk ramani ya udume
  6. canal59

    Naomba kufahamu kuhusu Saadani National Park

    Kaundime me saadan naijuwa vzr tu ..c mbaya mwache aende then atatupa report
  7. canal59

    Dalili za Lema kuukosa ubunge

    Perfect we boya tu...huna jipya
  8. canal59

    Dalili za Lema kuukosa ubunge

    Pwilo zungumza hoja co porojo tu..haisaidii kuweka porojo
  9. canal59

    Dalili za Lema kuukosa ubunge

    Me ckupingi ila kwa izo dalili czan Ka kuna ushindi wa namna iyo
  10. canal59

    Dalili za Lema kuukosa ubunge

    Naziona dalili mapeema za Lema kuukosa ubunge, dalili hizo ni 1. Upepo wa mabadiliko ambao unaanza kuchipukia CCM 2. Wananchi kutokujitokeza kwa wingi ktk upigaji kura na hli limeonekana ktk chaguzi za lushoto lulindi na sehemu zinginezo ktk level ya kata 3. Nguvu ya lowasa ss...
  11. canal59

    Naomba kufahamu kuhusu Saadani National Park

    Nakushauri usiende ,mana mbuga ya saadan hutaona hata sungura pori ..me nilienda lakn kiukweli niliona ngiri peke yake
  12. canal59

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    ITV hawana tatizo ,ayo malalamiko peleka uvccm mkaunde tume huru ya ccm
  13. canal59

    Wasanii: Prof. Jay tusemee bungeni na utupiganie!

    Wamtume nepi neuye atawasemea vzr tu
Back
Top Bottom