canal59
Member
- Feb 13, 2015
- 64
- 36
Ofisi ya Chadema iliyoko Salasala katika jimbo la kawe wakwepa kulipa kodi ,hii imekuwa ni tabia ya viongozi wa Salasala kutafuna pesa zilizochangwa na wanajimbo kwa ajili ya kulipa kodi..nawashauri viongozi wa juu wa chama chetu kufuatilia jambo hill kwan linatia aibu kwa chama.