Recent content by Calyx24

  1. Calyx24

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    pa patrick sio wa kumzingatia sana mana aloshatuambiaga kuwa yeye sio mtu wa kuchukulia vitu serious so hata hii story anaeza ishia popote
  2. Calyx24

    FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    dogo hamna kitu anachojua ni kukimbia tuu kukaba hajui wala kutoa cross hajui kwa kweli viongozi wa yanga kuna watu wanawafuga pale ambao hawawezi kuja kuisaidia timu na kubebana
  3. Calyx24

    TAZAMA wanaajiri vipi?

    mradi upo wapi mkuu watumishi huwa hawafanyi kazi za construction mkuu
  4. Calyx24

    KERO Kwa hali hii ya sasa najuta kukaa Kigamboni

    unaweza kuteleza ukajikuta upo chini ya pantoni unasagwa sagwa n propeller n wenyeji hawakwambii kam kuna hiyo risk mpaka utakapo jionea mwenyewe
  5. Calyx24

    Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    kuna kitu anakitafuta uyo sio kila anae sema kitu anamaanisha huyu si alikuja na uzi akasem yeye n muhasibu
  6. Calyx24

    Watengenezaji wa madawati ya shule

    private school na vyuo mbali mbali
  7. Calyx24

    Watengenezaji wa madawati ya shule

    popote tunafika
  8. Calyx24

    Watengenezaji wa madawati ya shule

    karibunj wakuu
  9. Calyx24

    Watengenezaji wa madawati ya shule

    Habari Kulingana na mahitaji ya furniture za mbao na chuma katika mazingira yetu ya kazi, ofisini, mashuleni, vyuonI, taasi mbali mbali na majumbani Sisi kama wabobezi na watengenezaji wa haina mbali mbali ya viti na meza kwaajili ya wanafunzi kwa bei zifuato kiti na meza kwa sh 100,000 kiti...
Back
Top Bottom