southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 904
- 1,103
Habari wakuu,hivi mradi wa Bomba la mafuta TAZAMA wanaajiri vipi,na vipi kuhusu marupurupu na mishahara inakuwaje? maana tokea nimeomba nafasi mwezi wa 9 sioni feedback yoyote
Mradi woote ukishona mchina kahusika basi ujue haunaa faida kwa wananchi.Habari wakuu,hivi mradi wa Bomba la mafuta TAZAMA wanaajiri vipi,na vipi kuhusu marupurupu na mishahara inakuwaje? maana tokea nimeomba nafasi mwezi wa 9 sioni feedback yoyote
duuh kwahiyo hata malipo ni duni paleMradi woote ukishona mchina kahusika basi ujue haunaa faida kwa wananchi.
Mchina huwa hatoi kitu cha kusaidia Nchi nyingine.
Huu Mradi ni kama haupo kbisa. Hauskiki
na vipi wanao ajiriwa pale wanakuwa watumishi wa umma au ni wanahusika na mradi tuu?Mradi woote ukishona mchina kahusika basi ujue haunaa faida kwa wananchi.
Mchina huwa hatoi kitu cha kusaidia Nchi nyingine.
Huu Mradi ni kama haupo kbisa. Hauskiki
mradi upo wapi mkuu watumishi huwa hawafanyi kazi za construction mkuuna vipi wanao ajiriwa pale wanakuwa watumishi wa umma au ni wanahusika na mradi tuu?