JamiiForums Tanzania
my ex
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na...