Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

ndiyo matatizo ya foolish age hayo na asipoangalia itakula kwake... hapo mweupee una maana rangi ya ngozi au ni kipunga?

Rangi ya mwili wake. Uamuzi ukifikiwa wa kufuta, utaalamu wa hali ya juu utaitajika bila kuacha vitu kama makovu kwenye mwili wake
 
Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa. Mpenzi wangu katika malavi lavi na kudadavuana ya kiujana na boyfriend wake wa kwanza. Boyfreind wake alimlisha yamini mpaka kafikia kuchora Tatoo mbili kwenye mwili wake. Moja ya pajani juu sana ina alama ya kopa na mameno Victa for Life. Na ya kwenye makalio ameandika For Simple V. Victa alimtenda na mahusiano yao yakaisha bila kufikia malengo yao. Now nipo mimi.

Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana

Tatoo zinatoka mkuu sijui kwa bongo kama tatoo removal studio sijaona bado.. Kuna msela wangu way back aliingia mambo ya dini akaamua kufuta mchoro sema yeye alitumia pasi ya moto hivyo amebaki na kovu kubwa zaidi ingawa mchoro uliondoka, tulihangaika balaa kutafuta ganzi mpaka tukaenda hospitali ya mkoa sekou toure kujaribu kumhonga dentist lakini akachomoa ilibidi tu amuombe msamaha mola wake kwa siku moja anywe Power (viroba vya those days) kadhaa na jani kisha kujipiga pasi ya mkononi.. Usiombee aisee maumivu yake.. Kama inakusumbua kivile u can go down to South Africa for a day or two kule nimeona drawing and removal studios wanatumia laser technology.
 
Kama upo tayari kuna dawa ya kutoa tatoo sema bei yake imechangamka..ua kafanye skin surgery.
 
Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa.

Unafichaficha hisia zako ili iweje, au na wewe unamega tuu kisha utimue. Hizo chata si kipimo cha umalaya. Hebu mweleze huzitaki na tafuteni namna ya kuzifuta. Au la nenda kwa wataalamu apige mstari mwekundu kufuta zile za mwanzo na wewe uandike zako (zitakuwa current, eeh?) Kama unampenda ucmwache, tafuta solution mapema.
 
acha upoyoyo....piga chini mazima...hakuna mke hapo....unless huna vitu vya kufanya zaidi ya mapenzi na huyo mnenguaji wa Akudo...ovyooooooooo
 
Back
Top Bottom