Recent content by Calvin de Charzy

  1. Calvin de Charzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake bhana! daah!

    ✍ MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE anaogopa #MENDE#* WANAWAKE BANAA SOMETIME WANACHOSHA
  2. Calvin de Charzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

    Mmh! me msomaji tyu!
  3. Calvin de Charzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Endelea kutafuta utapata tu!
  4. Calvin de Charzy

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza keki. Ni rahisi sana

    Utangulizi Keki hutengenezwa kutokana na unga wa ngano, mafuta, mayai na vikolezo mbali mbali. Kuna Keki za aina mbalimbali kulingana na umbo, ukubwa vikolezo n.k. Aina za Keki pia hutegemea wakati (Occassions) kwa mfano kuna keki za harusi, kumbukumbu ya kuzaliwa (birthday), na zile za...
  5. Calvin de Charzy

    JamiiForums Tanzania Hodii

    Kwa majina naitwa Calvin de Charzy (C.d.C).Ni mtoto wapili katika familia ya Peter Mbuya. nimezaliwa Arusha na ninaishi Arusha.ninamiaka isiyopungua 21. pia ni mjasiriamali mdogo.pia mfanyabiashara . Nisingependa kuongea sanaaaa! maana naweza nika jaza page yote hi kwa kujitambulisha tyu...
  6. Calvin de Charzy

    JamiiForums Tanzania Hodii

    hi! kwa majina naitwa Calvin de Charzy(C.d.C). naishi mkoa wa Arusha Tz. pia ni mjasiriamali mdogo.ni miaka isiyo pungua 21. tutajua zaidi tukiendelea kuwepo humu ahsanten! i need ur support..
  7. Calvin de Charzy

    JamiiForums Tanzania wanaume ni kama watoto

    Dada zangu sisi wanaume ni kama watoto Ukiona boyfriend wako ana hasira Sana We muwekee ziwa mdomoni atatulia tu mwenyewe😂😂😂😂😂😂
  8. Calvin de Charzy

    JamiiForums Tanzania Student & teacher

    Teacher: Why are you so late? Student: There was someone who lost a hundred dollar bill! Teacher: Oh, that is nice. Were you helping him to find it? Student: No, I was standing on it ..
Back
Top Bottom