Recent content by call me T

  1. call me T

    JamiiForums Tanzania Ninawasikitikia sana watu wa nchi za Magharibi, hawana uchaguzi ili kukubaliana na matakwa ya akina Bill Gates 'New World Order'

    Hatuhitaji kiongozi kutuvusha ila tunahitaji tuishi maisha yetu tujitahidi kuboresha mifumo yetu ya kisiasa, elimu, utamaduni na kiuchumi ila kama tutaendelea ishi hivi hata aletwe Suleiman na busara zake haezi tuvusha so jiandae kisaikolojia brother
  2. call me T

    JamiiForums Tanzania Ninawasikitikia sana watu wa nchi za Magharibi, hawana uchaguzi ili kukubaliana na matakwa ya akina Bill Gates 'New World Order'

    Kama lengo ilikua kumsifia head of state ungesema tu ila sawa umejitahidi kueleweka
  3. call me T

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

    Nikiripoti kutoka KUMAMOTO ni mimi Uchito Yakuma 😂😂😂
  4. call me T

    JamiiForums Tanzania Kwa GPA ya 3.0 Diploma naweza pata nafasi Chuo Kikuu?

    Chuo ganu utaenda kwa hicho ki GPA
  5. call me T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enzi hizo...

    Kula bia wewe ubavu hauta kusaidia kitu 😂
  6. call me T

    JamiiForums Tanzania Movie zangu bora zenye miendelezo zaidi ya part 3+

    Nakuongezea 1. Underground 2. Wrong turn
  7. call me T

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Sawa sawa mkuu as long as tuko woote jf ngoja tuwe karibu muda ndio utaamua
  8. call me T

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Hilo swala la vijana wa Tz hatuchangamkii fursa za nje ni kweli kabisa hivi mkuu nikijichanga changa hautanisaidia connection hata kazi ndogo ndogo za viwandani au mashambani
  9. call me T

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Mkuu tafadhari nitag kwenye hilo andiko lingine nikimalizana nalo then nijue cha kuuliza
  10. call me T

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikitamani kuhamia katika Jiji la Port Moresby-Papua New Guinea

    Najaribu kuwaza nasubiri nini Tanzania na nishaona vilivyopooo Fiji nakosa majibu
  11. call me T

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa ajabu ambaye hakuwa binadamu

    Story imeisha hata kabla haija anza 😂😂😂😂😂
  12. call me T

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuingia shule ya bweni ya Serikali

    Bila shaka ni Kantalamba boys
  13. call me T

    JamiiForums Tanzania Nadhani unamkumbuka sana huyu jamaa kwa sasa.

    Enzi za jamaa hata familia yetu ambayo mzazi hana bashara wala ajira maalumu mambo yalienda lakini sasa duh Tz kama zimbabwe
Back
Top Bottom