Recent content by Call me D

  1. C

    JamiiForums Ex- mchepuko siuelewi

    Hapo hamjamwagana hata kidogo, endeleenin tu mkuu
  2. C

    JamiiForums Uteuzi wa Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji waivuruga UVCCM

    Hahahahaaaaaaa acha wakome, wajaza kumbi za CCM tz
  3. C

    JamiiForums Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Uhai nilionao tu ni dhahili kuwa Mungu yupo, na yote niyafanyayo ni kwa neema zake tu wala si kwa nguvu zangu.
  4. C

    JamiiForums Hii Sapraizi imekaaje?

    sasa inakuja surprise ya mtoto wa kiarabu.....hahahaaaaaa!!!!
  5. C

    JamiiForums Check milestone za maisha, uko wapi kwa sasa na umetimiza kulingana na umri ulionao?

    Namshukuru Mungu siko ktk level mbaya
  6. C

    JamiiForums Hisa za Vodacom Tanzania, imegeuka kuwa kitendawili kwa Tanzania

    Mh! sasa tulionunua matumbo joto!!!!! zikipanda tu nauza zote hata km itakuwa faida ni 50 kwa hisa moja.
  7. C

    JamiiForums Ushauri: Mke wangu hataki tukaishi kwa wazazi wangu ili tubane matumizi tujenge

    Hata ningekuwa mimi nisingekubali, kuishi ukweni kwangu ni big NOOOO.
  8. C

    JamiiForums Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Ndio lina maana kwa kuwa jina langu halisi linaanza na herufi D.
Back
Top Bottom