Recent content by calisy

  1. calisy

    Nauza matikiti maji kwa jumla

    NIPO DAR MATIKITI YPO TAYARI MOJA NI ELFU TATU.
  2. calisy

    Nauza matikiti maji kwa jumla

    NIMELIMA MATIKITI HEKA 3 ANAYEHITAJI KUNUNUA ANICHEKI KWA NO 0712347646 AU 0657723172
  3. calisy

    Msaada: Soko la matikiti maji

    NIMELIMA MATIKITI HEKA 3 NATAFUTA WATEJA WA JUMLA ANAYEHITAJI ANICHEKI NO 0657723172
  4. calisy

    CRDB Bank: What a terrible experience!

    sometymz inategemea na branch unayooenda kwa huduma kuna kipindi nilipata tatizo la atm card yangu nilizungushwa hko akizikiwe na mikocheni mpk kuna siku nilikua na mtu naenda kuonana nae pale mtaa ya nyarugombe nikaona tawi la crdb nikapna nijaribu hpa yani witin seconds atm card yangu inafanya...
  5. calisy

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    sorry hivi hzo mbegu zinakuwa zimewekwa kwny makopo au na je shamba la ekari 1 ni kiasi gan cha ujazo wa mbegu kitahtajka?
  6. calisy

    Namshukuru Mungu

    nashukuru sna wanajamii mungu ni mwema tuendelee kupambana.
  7. calisy

    Namshukuru Mungu

    After along struggle of abt two years hatimaye nimepata kazi namshukuru mungu kajibu maombi yangu plz msikate tamaa wataftaji mtapata tuu.
  8. calisy

    Mshahara wa 'bank officer' NMB ni kiasi gani?

    na vpy mshahara wa bank officer crdb nimepewa barua nimekua succesful so soon ntaenda ku sign mkataba vpy mishahara yao, cz nafanya biashara zangu i want to knw ig its worth it....
  9. calisy

    Oral interview CRDB

    habari naomba mnijuze oral interview crdb ziko vip natanguliza shukrani
  10. calisy

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    hvi za december walishaanza kuita watu kwa interview?
  11. calisy

    Kuitwa interview CRDB

    kuna aliye itwa interview CRDB? tujuzeni written yao iko vipi?
  12. calisy

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    yani hta mm niliuliza hlo swali, kila mtu ooh rafiki yangu, cjui jirani, ndugu yangu lkn hamna alikuja hpa akatoa expirence kma yeye ndo ameitwa
  13. calisy

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    ni shidaah tunakatishwa tamaaa
  14. calisy

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    interview za nssf ndo zimeisha?
  15. calisy

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    hahaha kwl hko ni kituko aisee ss si bora uwende hq usiondoke mpk kieleweke.
Back
Top Bottom