All the best mkuu!una jukumu moja tu sasa,kuihakikishia ofisi yako kwamba haikukosea kukuajiri!
Kila lakheri, piga kazi sasa, usione kazi kufanya kazi.
After along struggle of abt two years hatimaye nimepata kazi namshukuru mungu kajibu maombi yangu plz msikate tamaa wataftaji mtapata tuu.
Akili yako kubwa!
Nakushukuru sana mkuu The Dealer!One of my best comment ever! Akili yako ni kubwa!