Marketing is about 4Ps
Place, Product, Price, Promotion...
Nadhani Product unayo na unajitahidi kwenye Promotion ila katika Place (communication) na Price ndio bado kidogo, ni vema ukaweka bei yako kama ni ya ushindani na ukaelezea upo wapi ili mtu aone moja kwa moja kabla ya kupiga simu na kupoteza muda wako kumbe upo Timbuktu na jamaa yupo Gamboshi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.